Tatizo ni wewe Vin Diesel

sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,947
8,409
Nimeamini raha ya upendo ikipotea huwa karaha!


Sikutaraji kama leo hii nitabaki na jeraha!


My number one fun tatizo ni wewe umefanya anitose!


Wakati bado nampenda nafsi imejaa upendo wake!


My number one fun tatizo ni wewe umefanya anitose!


Wakati bado nampenda nafsi imejaa upendo wake!


Sikujua dhamira iliyo kufanya wewe (Vin Diesel) uwe karibu na mimi!


Nafsi inanisuta kwa kumkwaza (nitonye) hana hata raha moyoni!


Alidai anaenda ili atuache mimi na wewe!


Nami sitaki kupoteza "penzi" lake nifanyeje!




He is just my number one fun

He is the one and i love him

He is everything in my life

My dreams depends on him


Bishanga shemeji kipenzi......niombee msamaha kwa mdogo wako nitonye......nakiri makosa na naahidi sitarudia tena......... Kongosho plz busara zako kuhakikisha ndoa yangu na nitts inarudi kwenye mstari zinahitajika sana hapa!


Lovely sister charminglady nawategemea sana wewe pamoja na shemeji C6 ...... Blaki Womani wifi kipenzi napiga magoti mbele yako na mbele ya familia nzima ...... Preta laiti ningesikiliza maneno yenu wewe na Madame B yote haya yasingetokea ..... platozoom najua umejaliwa busara za kutosha nakutegemea kwenye hili......... KARIA nawe pia naamini hutaniangusha ........... Ndahani plz njoo uokoe jahazi............. gfsonwin na snowhite popote mlipo mje kusema chochote hapa........ Catherine uko wapi?.............. Kaizer hebu tumia uzoefu wako najua umeshawahi kuokoa ndoa ya Asprin na mkewe mdogo cacico ............. BADILI TABIA , Yummy na Mr Rocky mwambieni nitonye bado nampenda sana ila shetani alinipitia!

AshaDii na mke mwenza King'asti tuliapa kuwa pamoja hivyo naamini tuko pamoja kwenye hili pia ....... Mentor maombi yako yanahitajika ! Remmy na PakaJimmy mkiona mwenzenu ananyolewa zenu mzitie maji .....afu msipende kuchekelea matatizo ya mwenzenu!
Erickb52 , BAGAH, Judgement , ruttashobolwa na Mtalingolo nyie nawatuma mwende mkamwambie Vin Diesel kuanzia leo simtaki na nimeamua kurudi kwa mume kipenzi nitonye......mwanetu anahitaji malezi ya baba na mama.


nitonye popote ulipo nahitaji msamaha wako.... naahidi kuwa mke mwema zaidi ya nilivyokuwa zamani......nimejifunza mengi na nayajutia sana makosa yangu......plz nipe nafasi nyingine ya mwisho na hutoujutia msamaha utakaonipa!




Wapendwa wote wa chit chat nisaidieni kuomba msamaha.......ambao sijawataja hapa mtanisamehe manake kwa jinsi nilivyochanganyikiwa siwezi kumkumbuka kila mmoja wenu humu ila naamini chit chat wote ni familia moja na tuliapa kusaidiana kwa shida na raha pia kwa hali na mali.....mie hapa nahitaji msaada wa hali tu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha ndio maana nikakuchagua kwenye hicho kitengo lol......nimependa huu mkwara!.....Safi sana tehe!
Tena mwambie akiendelea ntamwambia Judgement akiweke kifanyio chake kwenye paji la uso kiwe kama Antena
Heheheeeeee uuuuuuwi nafwaaaa miyenyu
 
Last edited by a moderator:
mie mzima sana, naona unaitumia vizuri principle ya 'tupa kule'... Akileta miyeyusho unatupa unavuta kipya..


Ndio maana yake lol

Na wewe ungana na Erickb52 kuhakikisha anakula kona.....sawa eeh?
 
Last edited by a moderator:
mie mzima sana, naona unaitumia vizuri principle ya 'tupa kule'... Akileta miyeyusho unatupa unavuta kipya..
Sasa huyu sweetlady alivyo mzigo katupa kule na badala ya kuvuta kipya yeye kavuta cha zamani
Yan kama ni gari kauza benz kanunua BedFord hahahaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom