Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Na wewe BW, umezidi kuvisema mno vinywaji vya wenzio...kwani viroba vina shida gani jamani!
Wewe mwenyewe unaanza na Castle light unamaliziaga na Kiroba!
Amini usiamini, wanywa bia wote lazima wamgeuze samaki kwa kunywa kiroba!
BW huyu ninayemfahamu au mwingine! Taratibu PJ!!!!!!