Tatizo ni wewe Vin Diesel

Tatizo ni wewe Vin Diesel

Kaahidi kuwa anakuja kwang nimtimizie yale unayoshindwa....na leo asubuhi tumeagana safi kabisa...

Uongo wa wazi huu.....toka jana tupo na nitonye sasa wewe unaongelea asubuhi ipi?.....kubali yaishe bana!
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa katika Bwana...nakukimbieni naenda kwenye mkutano wa Mwakasege kupata chakula cha roho....
Kwa walio dsm karibuni sana pale jangwani.
Semina imeanza jana na itaendelea mpaka jumapili inayokuja.
Wenye mizigo ya dhambi kama wale wezi wa wake za watu (wanajijua) mje mpate faraja...
Baadae kidogo.
 
Wasalimie
Usisahau kutubu dhambi ya kuchukua wake za watu!
 
Back
Top Bottom