Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Nimerudi mwenyewe sasa wewe chapa lapa
eeeeeehhhhhh braza braza brazaaaaaaaaaaa mweleze
Nimerudi mwenyewe sasa wewe chapa lapa
Nimerudi mwenyewe sasa wewe chapa lapa
wifi yangu nakuamini najua wanakupakazia watu kwa fitina wengine masista wa Vin Diesel wanoko kweli
Mi sina mpango wa kumsaidia mwizi Vin Diesel alichomfanyia nitonye hakikubaliki na sina mpango nae tena. Blaki Womani labda uongee na BAGAH amsaidieyeye tena wa kwanza anasindikizwa na Erickb52 ili akizimia apate mtu wa kumdaka
Wanajua nilivyo wa ukweli....na ww acha kuni pm...ntazirusha hapa ukizidi...
Wewe si ndo ulikuja unalia tuwe wote....kumbe ulikuwa unatafuta mtaji ukaanzishe maisha na huyo mwenzako....
Unadhani huto tu billioni 8 umepunguza chochote kwangu?
mbona unaanza kupata makengeza ya akili unatumia kinywaji gani baada ya songombingo......... umemwona nitonye
Mi sina mpango wa kumsaidia mwizi Vin Diesel alichomfanyia nitonye hakikubaliki na sina mpango nae tena. Blaki Womani labda uongee na BAGAH amsaidie
Tatizo dawa zako zimexpire huna jipya
Ameona nimerudi sasa anaanza kutapatapa
BAGAH amemchoka alimsindikiza kutoa mahari feki.....nafikiri nimtuma ArushaoneMi sina mpango wa kumsaidia mwizi Vin Diesel alichomfanyia nitonye hakikubaliki na sina mpango nae tena. Blaki Womani labda uongee na BAGAH amsaidie
Mwambie huyo darling
Hebu twende ile lunch uliniomba....vinywaji navyotumia ni imported...karibu sana
Ameona nimerudi sasa anaanza kutapatapa