Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
hahahahahaha wifi umesahau ulikuwa unasubiri nikununue viroba........hapo kwenye red naanza kumwamini Vin Diesel
Last edited by a moderator:
hahahahahaha wifi umesahau ulikuwa unasubiri nikununue viroba........hapo kwenye red naanza kumwamini Vin Diesel
Hehehehe! Mbavu zangu mie khaaa! Unachekesha ! Pole weye manake ulichoandika hapa hata moyo wako unajua kabisa kuwa sio kweli. Nakusamehe vile nayajua maneno ya mkosaji! Kuna wanaume wa kutongozwa dia ila wewe haupo kwenye hao wanaume! Hii sredi imefungwa kwa hisani ya Paw !
Tuache na my hubby nitonye tujipumzikie kwa raha zetu!