Bibi shamba
Member
- Aug 31, 2020
- 44
- 73
Anha kuna post nililpost ya natural ways ya kutibu ilo tatzo naona sijui ndo admin aliidelete though ilikua inaeleza mengi unayoeleza apo psychological issues sijui pombe na mengine mengi japo ilikua post ya kiswahili au kupost umu inatakiwa iwe tiba ya hospital?Nimechelewa kukujibu sababu ya majukumu mengine.
Upungufu wa nguvu za kiume "erectile dysfonction" husababishwa na vitu vingi.
Kwa sababu nilishea bure coz kuna mtu namtaham ile formula ilimtibu au labda kwa wengine ni biashara nilikua naharibu wakaireport.