Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Nimechelewa kukujibu sababu ya majukumu mengine.

Upungufu wa nguvu za kiume "erectile dysfonction" husababishwa na vitu vingi.
Anha kuna post nililpost ya natural ways ya kutibu ilo tatzo naona sijui ndo admin aliidelete though ilikua inaeleza mengi unayoeleza apo psychological issues sijui pombe na mengine mengi japo ilikua post ya kiswahili au kupost umu inatakiwa iwe tiba ya hospital?

Kwa sababu nilishea bure coz kuna mtu namtaham ile formula ilimtibu au labda kwa wengine ni biashara nilikua naharibu wakaireport.
 
Anha kuna post nililpost ya natural ways ya kutibu ilo tatzo naona sijui ndo admin aliidelete though ilikua inaeleza mengi unayoeleza apo psychological issues sijui pombe na mengine mengi japo ilikua post ya kiswahili au kupost umu inatakiwa iwe tiba ya hospital ? Kwa sababu nilishea bure coz kuna mtu namtaham ile formula ilimtibu au labda kwa wengine ni biashara nilikua naharibu wakaireport
Admins wa Jf huwa na maamuzi yao sometimes wanayajua wenyewe.
 
Anha kuna post nililpost ya natural ways ya kutibu ilo tatzo naona sijui ndo admin aliidelete though ilikua inaeleza mengi unayoeleza apo psychological issues sijui pombe na mengine mengi japo ilikua post ya kiswahili au kupost umu inatakiwa iwe tiba ya hospital ? Kwa sababu nilishea bure coz kuna mtu namtaham ile formula ilimtibu au labda kwa wengine ni biashara nilikua naharibu wakaireport
Nakushauri ungeibandika hapa kwenye uzi huu huu ili wengi wapate maarifa.
 
Kuna motivosheno spika mmoja aliongea kitu akiwa anawahimiza watu kuhakikisha wanatenga mda mzuri wa kulala kwani madhara ya kutopata mda mzuri wa kulala ni kukosa hamu ama kushindwa kufanya vizuri tendo la ndoa.

It doesn't matter how many hours of sleep but the quality of sleep that matters. Brain is the key organ in the human body and it needs a quality of rest that only comes with sleeping.

Suala la nguvu za kiume lina sababishwa na mambo mengi na linaweza kutibika Kama mtaalamu alivosema hapo juu. Hebu mwambie "mgonjwa" aanze kwa kufanya mazoezi ya mwili walau dakika 30 mara tatu kwa wiki.

Am sure matokeo chanya yataanza kuonekana. Hii ni njia rahisi iliyopo kwa wanaume ambao hawana umri mkubwa (50 kushika chini)
 
Nakushauri ungeibandika hapa kwenye uzi huu huu ili wengi wapate maarifa.
Sawa mkuu ngoja niandike hapa naweletea tiba ambayo inatibu kwa utaratbu jaman sio busta kwamba ukinywa saiz kesho inafanya kazi no hii inaenda taratibu

Naweletea ua linaitwa periwinkle au kikwetu kwetu linaitwa star of jerusalem ntaatach picha ili muone msijali

So tatzo la upungufu wa nguvu za kiume linapompata mwanaume yoyote automatically kisaikolojia mtu huyu hawi sawa maana ili tukuite mwanaume inatakiwa uweze kuperform kama mwanaume

Katika tiba hii ninayowapa itatakiwa uwe na peke za parachichi kile kitunda Cha parachichi asali mbichi tangawizi na ilo ilo ua tajwa apo juu

Soma kwa makini tafadhali
Tafuta ilo ua nililokutajia kachimbe chimbe upate kamzizi ukichimba vipo juu juu tu utaviona chagua kinene kinene Kama lipo nyumban kichimbe jion kitunze mala nyingi wengi wetu mida ya sa kumi tunakua macho ukishtuka mda uo chukua iko kimzizi ulichokichimba kata kadogo sana kama urefu wa kucha ako ya kidole n kachungu mno aisee mnoo katafune kaishe kote na umeze everything kazi ya iki kimzizi kwa upande wa ubongo
(increasing blood circulation in the brain, supporting brain metabolism, increasing mental productivity, preventing memory and concentration problems and feebleness, improving memory and thinking ability, and preventing early aging of brain cells).

Lakin katika uume kimzizi iki kinasaidia katika kuboresha misuli ya uume wako na kusafisha njia za mkojo endapo mkojo wako una shida

Pia kinasaidia kama una sukari vidonda vya tumbo kitambi na mengine mengi

NB KIMZIZI IKI KINATAFUNWA KWA KULUKA SIKU YAAN UKITAFUNA JUMATATU UNALUKA UNATAFUNA JUMANNE THEN ALHAMISI JUMASOSI NK
HII NI SABABU KINA NGUVU SANA

So io sa kumi alfajiri ukiwa una kitafuna iambie akili ako uume wangu umepona na utafanya kazi kwa nguvu zile nilizopewa na Mungu hii inasaidia sana trust me by the way ua hili kiasili kwa wazee wa zamani ukiwa unalitafuna huku unaongea Jambo,Jambo hilo hutimia lakin hayo n ya wahenga

Ok naendelea after that kama unalala endelea na usingizi wako kama n mazoez whatever ila baada ya masaa mawili chemsha maji lita moja na nusu yachemke kama chai ipua weka kwenye jagi then chukua unga wa mbegu za parachichi kijiko kimoja Cha chai kijae vzur unga huu utengeneze mwenyewe usinunue wa dukani unaweza kua umekaa sana nenda sokoni kwa wale wamama wauza maparachichi wakuuzie zile mbegu za parachichi ukishanunua katakata vidogo vidogo then saga kwenye Brenda adi upatikane unga laini sana tunza uo unga kwenye chombo kisafi chenye mfuniko kama huna Brenda tumia Cha kusugulia nyanya kule kwenye meno madogo
Ukishakua umechemsha maji ako umeweka kwenye jagi nilisema weka kijiko kimoja Cha unga wa parachichi then chukua vijiko viwili vya asali mbichi usidanganywe asali mbichi haigandi inamiminika kama mafuta
Then menya tangawizi mbichi sugulia mwenye uo mchanganyiko tangawizi iwe hata urefu wa dole gumba jaman tangawizi haina kipimo najaribu tu kulezea koroga vzur na kijiko viache vijichanganye ata kwa dakika kumi then anza kunywa na umalize maji yote after half an hour unaruhusuwa kunywa breakfast

NB Maji ya uo mchanganyiko ni Kila siku

Zoezi hili nenda nalo for two weeks ukiomba na kuamin kwa iman ako after two weeks acha kutumia ako kamzizi chuma majani ya ilo ua yaanike yakauke vzuri yapikiche yawe kama majani ya chai aya majani uwe unachanganyia kwenye ule mchanganyiko wako wako wa maji asali ,unga wa parachichi na tangawizi unaweka kidogo sana yaan kuna tuvijiko twa kuungia sukari tudogo Sana tumia tule tena kasijae system ni ile ile unaweka kwa KULUKA SIKU MOJA AYO MAJANI tumia tena kwa wiki mbili zingine yan utakua umeisha mwezi check if there are any changes kama zipo acha kutumia ilo ua endelea tu kunywa maji ya asali unga wa parachichi na tangawizi kila siku mpaka utakapojiona uko vzur
Kama hakutakua na any changes kwa mwezi mmoja pm me Kila kitu ntakujibu pm no phone numbers no kujuana ID BUREE kabisa

NB unapotumia dawa hii usinywe pombe kama mnashindana usitumie vileo vyovyote sigala ugolo nk

Kuhusu unene io mixture inasaidia sana kupunguza unene but usiache mazoez

Usiwe na mwanamke asie jielewa ambae anatumika kwengi na Kila siku anakuletea stress be with someone who makes you stress free pia anaweza kuletea STD ambayo hatuitaki wakati wa tiba

Epuka sana maZingira ya kuudhiwa na kama hayaepukiku Lear to control your temper google how to control my temper nadhan utapata chochote

Perhaps io hali ilikunyima confidence ukaamua kua mlevi kupotezea try this na hautajutia kabsa

NB picha itakuja

Please ili ua lina nguvu sana usitumie mengi tumia ivo nilivokuelekeza utapona kabisa katika yote usiache kumtaja Mungu

Nawapenda all da best
 
Ua na kamzizi mfanoView attachment 1604137
40b89a2283c9f5edbb3032e0b61cb348.jpg
 
Kwa ninavyoijua JF, hamna mwanaume humu atakayekujibu swali hilo kuwa aliumwa akatumia nini akapona.

Labda kama unataka ushauri wa Kidaktari nikupe.
Kuna uwezekano wa kupata dawa ya hospitali ya kuimarisha mishipa ya uume iliyoathirika kwa kujichua? Namaanisha dawa za hospitali.
 
Kuna uwezekano wa kupata dawa ya hospitali ya kuimarisha mishipa ya uume iliyoathirika kwa kujichua? Namaanisha dawa za hospitali .
Kama atakupa ya hospital fyn but ata io nilioandika inaweza kusaidia but usijichue tena na kama una mwanamke tafuta anaekupenda na umueleze nipo kwa matibabu soon I'll be ok
 
Nwahi kufika kilele naomba ushauli nitumie dawa gani muda huu ili isinikute harii kwa mkewangu maana nimepoteza kujiamini kabisa kwasababu ya Hilo tatizo mkewangu asije. Nikimbia
 
Tatz lingine ni HAYA matokeo ya CHAMA pendwa KUSHINDA kwa kihalali na kwa kishindo.

Chadema wengii wamepata tatz hili.

Polen sana
 
Wakuu naomba ushauri juzi nilipata mpenzi mpya lakini uume uligoma kusimama na hata ukisimama hauwi Na nguvu nilipata aibu sana..

Kiafya niko vizuri tu ila nasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo je hii inawezekana ikawa sababu?
Pole sana ndugu, jaribu kuondoa hofu moyoni, sometimes inaleta hiyo Hali,. Jiamini utaweza alafu pia punguza mawazo yanasababisha kutokua na hamu ya kufanya mpenzi, kula vyakula vyenye vitakavyo kupa joto mwilini kama kama chama/supu inapendeza sana kuliko kudanganywa kwenye mitishamba
 
Wakuu habari za muda?

Aisee nimekumbwa na hii sintofahamu ambayo inanifanya niwe muoga hata kushiriki ngono na mpenzi wangu

Iko hivi
Kwanza kabisa, nakosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa

Pili, ninaposhiriki sichukui dak hata 3 ninakuwa nimeshamaliza wakati mwenzangu ikiwa bado ana uhitaji

Tatu, kushindwa kurudia round ya 2 na 3

Nne,Wakati wa kushiriki moyo hua unanienda mbio sana mpaka huwa najiuliza kichwani kwa nn inatokea ile hali lakini sina majibu

Tano, Uume kutosimama imara

NB:Nyeto nilishawahi kupiga lakini sio kuwa addicted nayo

Porn nayo nimeacha kuangalia now nahisi labda pia inachagia mm kuwa under performance

Naomba ushauri wenu wakuu kivipi naweza rudisha uwezo wangu kama mwanzo, sababu hii sio ya kuzaliwa nayo sikuwahi kuwa hivi mwanzoni
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom