Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Kama uko serious njoo PM nikuunganishe na doctor yupo Dar ila ningependa ulete mrejesho baada ya tiba maana ndani ya week tu ya kwanza majibu yke yatakuwa tayari.
 
Kumbe ni mpenzi achana nae tu mi nlijua mke. Ye alitakiwa akutie moyo
Ila ndio kwanza anakusimanga.


Jitibu kwanza
Afya kwanza
 
Habarini za asubuhi wakuu, natumaini mmeamka salama kabisa, Mungu aendelee kuwaongoza.

Jamani mimi kijana wenu nimekuja hapa nina changamoto kubwa sana ya upungufu wa nguvu za kiume...
Weka wazi tatizo usaidiwe je? Mzigo hausimami, unawahi kufika kileleni, unasimama legelege au vipi?
 
Nawahi fika mshindo

Siwezi rudia tendo

Hapana tatizo sikuzaliwa nalo
Hilo tatizo dogo sana

Kama unaishi hapa Dar nenda pale Kariakoo sokoni ule mtaa ambao wanauza dawa za kienyeji

Nunua kungu manga robo au nusu kilasiku tafuna mbili moja asubuhi na moja jioni au kama utazisaga tumia kijiko kimoja asubuhi na kimoja jioni fanya na mazoezi ya kukimbia baada ya mwezi mmoja lete mrejesho hapa

Usile 2 au 3 kwa Mara moja maana zinalewesha
 
Hilo tatizo dogo sana

Kama unaishi hapa Dar nenda pale kariakoo sokoni ule mtaa ambao wanauza dawa za kienyeji

Nunu kungu manga robo au nusu kilasiku tafuna mbili moja asubuhi na moja jioni au kama utazisaga tumia kijiko kimoja asubi na kimoja jioni fanya na mazoezi ya kukimbia baada ya mwezi mmoja lete mrejesho hapa

Usile 2 au 3 kwa Mara moja maana zinalewesha
Nipo moshi kiongozi
 
Mkuu ndio maana tafuta suluhisho ya hili tatizo
Ameniambia nitafute suluhisho maana hii hali inaweza nisumbua hata baadae
Jitahidi kula chakula mapema.

Kabla ya saa moja usiku uwe ushakula.

Ili kimeng'enywe vzur kabla hujaingia ktk game.

Anza mazoez ya jogging

Alafu baada ya mwezi 1 chepuka nje
 
Habarini za asubuhi wakuu, natumaini mmeamka salama kabisa, Mungu aendelee kuwaongoza.

Jamani mimi kijana wenu nimekuja hapa nina changamoto kubwa sana ya upungufu wa nguvu za kiume.

Halii hii inanitesa sana, yaaani nikiangalia umri wangu na tatizo ambalo ninalo roho inaniuma najiona mwanaume nisie na faida😞

Imefikia hatua sasa mpenzi wangu anataka kuniacha, maana kasema tutaishi vipi mimi nikiwa na hali hii.

Maana hapo mwanzo nilimuomba anipe muda kumuhaidi kuwa nitatatua hii changamoto inayonisumbua lakini wapi imeshindikana

Na kinachoniuma zaidi nimeshatumia pesa nyingi, kwa upande wangu nasema ni nyingi kutokana sina shughuli rasmi, so shughuli zangu ni za kuunga unga tu.

Jaman naandika huu uzi wakati moyo wangu ukiwa na masononeko kweli

Hata nilijaribu kutembelea baadhi ya hizi taasisi za tiba mbadala tena zenye majina makubwa na ndio huko pesa zangu ziliisha kabisa, hadi sasa nimebaki mtupu hapa na bado tatizo linaendeleaa (sijapona bado hii changamoto)

Jaman mwenye kujua jinsi ya kutibu hili tatizo anisaidie wakuu, maana imefikia hatua hata nikikutana na wadada siwezi tongoza maana hizo nguvu sina kabisa

Daah, Roho inaniuma sana
Njia za kulimaliza tatizo la upungufu wa nguvu za kiume
Tunapozungumzia upungufu wa nguvu za kiume tunakuwa katika uwanja mpana zaidi wa tafakari za kibaiolojia na kisaikolojia walizonazo wanaume.

Lakini kwa kufupisha mlolongo wa mambo sehemu kuu tatu zinaweza kabisa kukidhi mchanganuo mzima wa jinsi tatizo hili linavyowasumbua wanaume wengi duniani.

Sehemu kubwa ya malalamiko ya wanaume katika sakata hili yanagusa zaidi maeneo matatu ambayo ni KUKOSA MSISIMKO, KUSHINDWA KURUDIA TENDO NA KUKOSA KABISA NGUVU, huku kufika kileleni mapema kukihusishwa pia kama pacha wa janga hili ambalo linawasumbua zaidi wanaume, ingawa na wanawake wanakabiliwa na sehemu ndogo ya tatizo hili.

Hata hivyo uchunguzi wa hivi karibuni uliowahusisha wanaume wanaofika kliniki au kupata tiba za tatizo la upungufu wa nguvu za kiume umeonesha kuwa, si wanaume wengi wenye sababu za kibaiolojia zinazowafanya wakose nguvu za kiume, wengi wao huwa na matatizo ya kisaikolojia zaidi ambayo wahusika wanaweza kujiponya nayo bila hata kutumia vidonge wala dawa za miti shamba.

Ingawa Matabibu wanataja magonjwa ya moyo, kisukari, shinikizo la damu, magonjwa ya zinaa, unene wa kupita kiasi, umri mkubwa kuwa ndiyo chanzo cha wanaume kupungukiwa na nguvu za kiume, lakini imebainika kuwa idadi kubwa ya wanaume wanaofika hospitalini kutafuta nguvu za kiume hawana magonjwa hayo.

Huu ni ushahidi kuwa wanaokabiliwa na janga hili wamebeba tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kimawazo zaidi kuliko hali halisi.

Ukweli wa mambo ulioibuliwa na wanasaikolojia umebaini kuwa, wale wote wanaolalamikia/lalamikiwa kuwa hawana nguvu iwe ya kufika kileleni mapema, kutokuwa na msisimko na kushindwa kurudia tendo wamekosa maarifa tu ya kufahamu na hawaijui miili yao na kwamba wanaishi kwa kusikia zaidi ya kujitambua.

Katika hali ya kawaida kila mwanadamu ameumbwa kwa namna yake na inapotokea kushabihiana basi ni bahati, lakini mara nyingi usawa hupatikana kwa mmoja kujifunza au kusaidiwa kufikia kiwango cha mtu anayemuhitaji kuwa nae katika maisha hasa ya kimapenzi.

Jambo hili wataalamu wanasema kuwa miili iko tayari kutii mafunzo na kubadilisha tabia zake kulingana na utashi wa mhusika.

Tatizo kubwa lililopo kwa wapenzi wengi wanaolalamikia upungufu wa nguvu ni kwamba maisha yao wanayachezea kwenye viwanja vya wenzao wanaokutana nao katika vijiwe na sehemu za kazi.

Usikivu wa mazungumzo toka kwa wanaume wengine wenye uwezo wa kwenda mara nne hadi saba katika tendo au wanatumia dakika arobaini kufika kileleni umewafanya wanaume wengi kujihisi tu kuwa wao wana kasoro eti kwa kuwa huishia mara mbili au moja katika kufanya tendo.

Dhana ya kujiona ni mwenye kasoro inapojengeka akilini mwa mwanaume, huchipua hofu na hatimaye kumfanya ashindwe kabisa kusisimka anapofikiria au kukutana na mwanamke.

Matokeo ya hangaiko la akili hushusha uwezo wa mwili na kumuongoza mtu kwenye kuwaza ugonjwa kisha kukimbilia hospitali au kwa waganga kutafuta tiba ya ugongwa ambao kimsingi hana.

Lakini ukweli uko wazi kwamba kukimbilia kutafuta uwezo wa kufanya mapenzi mara sita au saba hakumfanyi mwanaume awe mlinganifu mwenye kusifiwa na wanawake wengi, kwani si wanawake wote wana uwezo wa kufanya mapenzi kwa raundi hizo na si wote wanapenda kutumia takika 30 kucheza mpira wa kikubwa, wengine hukinai mapema na huona kero kuwa na wanaume vinganganizi wenye sifa za kuganda wanapopewa.

Kwa kufahamu haya utagundua kuwa,kukimbilia kutafuta tiba ya kumudu kwenda mara saba ni jitihada mfu kabisa zisizohitajika katika maisha ya mwanaume hasa ukizingatia kwamba wenye uwezo wa kufanya mapenzi mara nyingi hawakuzaliwa hivyo, bali walijizoeza kupitia mazingira ya malezi na makuzi yao.

Maana hawezi kuwa mzoefu wa raundi kama alipokuwa mvulana alilelewa katika mafundisho ya kukatazwa ngono na kulindwa hadi akakakua.

Kadhalika hawi hodari wa kimapenzi kama ni msichana aliyefundishwa kujitunza, yote yatakayofuata kwa mvulana au msichana humea baada ya kupandwa na tabia chipukizi za ukubwani.

Kwa msingi huo mwanaume ana jukumu la kuutengeneza mwili wake uwe katika staili aitakayo.

Ndiyo maana kuna wengine hawamudu kulala bila kufanya ngono, hii ikiwa na maana kuwa wamejizoeza tu, si kwamba wameumbwa na nguvu hizo. Dawa za Asili zipo za kutibu Upungufu wa nguvu za Kiume na kuwahi kufika kileleni.
 
Jamaani naomba mwenye utalaamu, nina takriban wiki moja Sasa kiuno kinauma Sana sielewi tatizo ni nini, japo nikiwa kwenye kale kamchezo napiga vizuri tu, mara nyingi mimi nikipanda kifuani natumia dakika 25 mpaka 30(bila kujali bao la kwanza au la pili) je, inaweza kuwa ni sababu ya kuuma kiuno? Mimi ni Boy!! Naombeni ushauri wa kitalaamu
 
Acha kupiga punyeto, fanya mazoezi, kula vyakula vyenye lishe, dona mbogamboga achana na vyakula vya mafuta.

Pendelea kunywa chai ya tangawizi kali, tumia sana vitunguu swaumu, ondowa wasiwasi ukiwa na huyo mpenzi kinachokusumbuwa ni inferiority complex.
Huu ushauri Ni mzuri sana tatizo hawatakuelewa

Sababu wanawaza mkuyati tu

Kumbe mkuyati wenyewe Ni kufanya haya

Mimi binafsi niliwahi kuwa na tatizo hili Miaka Kama 4 iliyopita Ila Sasa imebaki stori napiga gemu navyotaka

Vijana fuateni ushauri wa matola hapo juu .
 
Mkuu hivyo vyote nimefanya
Bado Kuna moja hujatimiza

Anza kudili na saikolojia yako

Sema Mimi ninaweza kumridhisha mwanamke yeyote

U-train huo ubongo na kafanye majaribio

Halafu unajua watu wengi wanapima uwezo wao kwa bao la kwanza which is big NOO maana bao la kwanza huja fasta sana karibia wanaume wote .

Tuanze kuhesabu bao namba 2 Kama limekaa chini ya dakika 5 Basi una tatizo mzee

Ni kufuata ushauri wa kisaikolojia na lishe na mazoezi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom