Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Habarini za asubuhi wakuu, natumaini mmeamka salama kabisa, Mungu aendelee kuwaongoza.

Jamani mimi kijana wenu nimekuja hapa nina changamoto kubwa sana ya upungufu wa nguvu za kiume.

Halii hii inanitesa sana, yaaani nikiangalia umri wangu na tatizo ambalo ninalo roho inaniuma najiona mwanaume nisie na faida😞

Imefikia hatua sasa mpenzi wangu anataka kuniacha, maana kasema tutaishi vipi mimi nikiwa na hali hii.

Maana hapo mwanzo nilimuomba anipe muda kumuhaidi kuwa nitatatua hii changamoto inayonisumbua lakini wapi imeshindikana

Na kinachoniuma zaidi nimeshatumia pesa nyingi, kwa upande wangu nasema ni nyingi kutokana sina shughuli rasmi, so shughuli zangu ni za kuunga unga tu.

Jaman naandika huu uzi wakati moyo wangu ukiwa na masononeko kweli

Hata nilijaribu kutembelea baadhi ya hizi taasisi za tiba mbadala tena zenye majina makubwa na ndio huko pesa zangu ziliisha kabisa, hadi sasa nimebaki mtupu hapa na bado tatizo linaendeleaa (sijapona bado hii changamoto)

Jaman mwenye kujua jinsi ya kutibu hili tatizo anisaidie wakuu, maana imefikia hatua hata nikikutana na wadada siwezi tongoza maana hizo nguvu sina kabisa

Daah, Roho inaniuma sana
 
Habarini za asubuhi wakuu, natumaini mmeamka salama kabisa, Mungu aendelee kuwaongoza.

Jamani mimi kijana wenu nimekuja hapa nina changamoto kubwa sana ya upungufu wa nguvu za kiume...
Acha kupiga punyeto, fanya mazoezi, kula vyakula vyenye lishe, dona mbogamboga achana na vyakula vya mafuta.

Pendelea kunywa chai ya tangawizi kali, tumia sana vitunguu swaumu, ondowa wasiwasi ukiwa na huyo mpenzi kinachokusumbuwa ni inferiority complex.
 
tatizo ulizaliwa nalo?? unawahi fika mshindo?? haisimami kabisa...kijana usije tu ukawa umepata gubeli linakunyonya damu bure
Nawahi fika mshindo

Siwezi rudia tendo

Hapana, tatizo sikuzaliwa nalo
 
Acha kupiga punyeto, fanya mazoezi, kula vyakula vyenye lishe, dona mbogamboga achana na vyakula vya mafuta.

Pendelea kunywa chai ya tangawizi kali, tumia sana vitunguu swaumu, ondowa wasiwasi ukiwa na huyo mpenzi kinachokusumbuwa ni inferiority complex.
Mkuu hivyo vyote nimefanya
 
Habarini za asubuhi wakuu, natumaini mmeamka salama kabisa, Mungu aendelee kuwaongoza.

Jamani mimi kijana wenu nimekuja hapa nina changamoto kubwa sana ya upungufu wa nguvu za kiume...

Soma hii thread itakusaidia
 
Hujajieleza vizuri! Tatizo lako limetokana na nini? Je unapiga punyeto? Unaangalia picha za ngono? Una umri gani? Tatizo lako limeanza lini? Na ulijuaje kwamba una hilo tatizo?

Tatizo lako kwa sasa likoje uume hausimami kabisa? Au una simama ila legelege? Unasimama vizuri ila usinyaa baada ya muda mfupi? Unasimama vizuri ila unawahi kumaliza na huwezi kurudia tena tendo?? Hebu jieleze vizuri upate kusaidiwa
 
Nawahi fika mshindo

Siwezi rudia tendo

Hapana tatizo sikuzaliwa nalo
Unawahi kwa muda gani? Sekunde moja|?? Acha jipa stress zisizokuepo kijana tafuta pesa.. umekutana na gube gube lishazoea kukanyagwa hadi masaa linakupumzikia... Vipi ukipiga show na demu mwengine tatizo lipo hivyo hivyo au?
 
Nenda insta mtafute jamaa anajiita Nguvu ya mapenzi atakusaidia Mkuu... ukifanikiwa njoo utoe mrejesho...
 
Back
Top Bottom