Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Pushapu tu zinatosha hakuna haja ya kufanya mazoezi mengine?
Na kama ni pushapu tu ninatakiwa kupiga ngap kila hasubuhi?
Mkuu push ups 70 tu tosha kabisa,,
Ukipiga push up unashtua misuli ya tumbo,,
Hivyo kupelekea kuboost mishipa ya dushe..
Amini mkuu...
IMG_20200820_083205.jpeg
 
Habari zenu wakuu,

Ni matumaini yangu mnaendelea na kulijenga taifa.

Mimi ni kijana wa miaka 25, Nime-experience hii kitu kwa mara ya kwanza Jumamosi baada ya kukutana na mpenzi na tukapiga rounds kama 4 hivi.

Ile ya 5 mashine ilikuwa inasimama na kusinyaa, yani haikuwi ile erected ya kuweza kupenetrate kwa mwanamke hadi tukashindwa kuendelea.

Lakini hadi leo naona bado ipo hiyo kitu yani, nimeshindwa kabisa ku-erect japo nimejaribu pia kuangalia video za uchi kidogo labda nitaweza kusimamisha ila imekataa kabisa.

Naomba anayeweza kuwa na idea na hii kitu na solution pia anisaidie wakuu.

Natanguliza shukrani.
 
Kuna dawa inaitwa mkambako kama upo dodoma itafute note inachimbwa porini na inabidi iwe mbichi,
Kama ulikula kwa mpalange ndo imekula kwako kwani hukutumia mafuta mkuu
 
duh pole sana, kuna rafiki yangu hii kitu ilimtokeaga ivyo ivyo ilikuwa mwaka 1998 mpaka mwaka jana ume wake ulikuwa hausimami kabisa (nimesema mpaka mwaka jana, maana mwaka jana ndio tulimzika).

pole sana mkuu watakuja watu kukuambia utumie dawa hii na ile ila ndio haitasaidia kitu, ila kuna wanaume uwawekea dawa wapenzi wao ili mtu atakayekutana nae ukichomeka tu taratibu taratibu nguvu upotea za uume na hatimaye kuwa ivyo, pole sana sana sana
 
Ilipokutokea Mara ya kwanza ilikuwa kawaida tu siku hazifanani, goli 4 kwenda ya 5 inaweza kutokea hali hiyo. Sasa kuanzia siku hiyo ulijenga hofu kichwani mwako na ndicho kinachoku cost. Suala la madawa si suluhisho la kudumu zaidi itakujengea utegemezi tu wa hayo madawa. Kama huyo ni mpenzi wako permanent ongea naye vizuri na asisononeke Wala kukulaumu zaidi akupe moyo na mfanye romance za kutosha huku mkipiga story za kimahaba na utaona mabadiliko. Kingine jibidishe na mazoezi itachochea kufanya mwili uwe fit and relaxed. Otherwise kwa umri wako bado uko fit kabisa ondoa mawazo. All the best.
 
duh pole sana, kuna rafiki yangu hii kitu ilimtokeaga ivyo ivyo ilikuwa mwaka 1998 mpaka mwaka jana ume wake ulikuwa hausimami kabisa (nimesema mpaka mwaka jana, maana mwaka jana ndio tulimzika). pole sana mkuu watakuja watu kukuambia utumie dawa hii na ile ila ndio haitasaidia kitu, ila kuna wanaume uwawekea dawa wapenzi wao ili mtu atakayekutana nae ukichomeka tu taratibu taratibu nguvu upotea za uume na hatimaye kuwa ivyo, pole sana sana sana
ohooooo!!
 
Nenda duka la dawa za waganga za kienyeji ukiza dawa za kukata uchawi za kujifukiza utapona
Au tafuta kitabu kinaitwa the magic can't work on me ni kigumu kufanya yale ila ukiweza hakuna wa kukugusa hata ukaibe kwa Mganga
 
Kinapatikana wap hiko kitabu ?
 
Alifariki sababu ya uume kutosimama au matatizo mengine?
 
Nenda duka la dawa za waganga za kienyeji ukiza dawa za kukata uchawi za kujifukiza utapona
Au tafuta kitabu kinaitwa the magic can't work on me ni kigumu kufanya yale ila ukiweza hakuna wa kukugusa hata ukaibe kwa Mganga
waweza kutuwekea hapa softcopy pls?
 
Back
Top Bottom