msaada we wadau wa jf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Millan og sana

    Msadaa kwa hili wadau wa elimu

    MIMI NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE NA SITA. KIDATO CHA SITA PCB NIMEPATA "ESE" NIKAONA SIWEZ KWENDA DEGREE NIKAENDA SOMA FOUNDATION PROGRAM YA OUT (1YRS) SIJUI MUNAIJUA hii program NIKAPATA GPA YA 3.5 Maana yake nishapata VIGEZO vya degree ila course ninayotaka kusoma degree ni IT au Computer...
  2. Cactus_assa

    Ninasumbuliwa na homa mjuzi anisaidie kuhusu homa

    Za mida wakuuu natumai ni wazima Kwa wiki ka 8 iv nasumbuliwa n homa.kali sana ambayo.kuna muda hua unalungua . Nilijarbu kuenda ku test HIV. TYPHOID N MALARIA PAMOJ N MKOJO wiki kama 3 zilizopita nkaambiwa shida ni TYPHOID tu na nikapewa dawa cipro, ambayo n dozi ya wiki mbili ila sasa. Ni...
  3. Pdidy

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Wajameni tunaulizia kwa wataalamu wa JF dawa gani za kuongeza mbegu za kiume yaani idadi zake na kuongeza nguvu za kiume ukiacha viagra. Tuwe serious kutoa msaada. Ufafanuzi wa jumla wa tatizo la nguvu za kiume na tiba yake Kuishiwa nguvu za kiume ni jambo la kawaida kwa wanaume wengi. Ni...
Back
Top Bottom