The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 18,159
- 51,092
Aisee!
We Sema tu aiku simama kabisa usaidiwe amna cha round 4 apa
Tatizo ni ofu iliyopo akili mwako
Demu Kakuroga huyoHabari zenu wakuu,
Ni matumaini yangu mnaendelea na kulijenga taifa.
Mimi ni kijana wa miaka 25, Nime-experience hii kitu kwa mara ya kwanza Jumamosi baada ya kukutana na mpenzi na tukapiga rounds kama 4 hivi.
Ile ya 5 mashine ilikuwa inasimama na kusinyaa, yani haikuwi ile erected ya kuweza kupenetrate kwa mwanamke hadi tukashindwa kuendelea.
Lakini hadi leo naona bado ipo hiyo kitu yani, nimeshindwa kabisa ku-erect japo nimejaribu pia kuangalia video za uchi kidogo labda nitaweza kusimamisha ila imekataa kabisa.
Naomba anayeweza kuwa na idea na hii kitu na solution pia anisaidie wakuu.
Natanguliza shukrani.
Nenda duka la dawa za waganga za kienyeji ukiza dawa za kukata uchawi za kujifukiza utapona
Au tafuta kitabu kinaitwa the magic can't work on me ni kigumu kufanya yale ila ukiweza hakuna wa kukugusa hata ukaibe kwa Mganga
Hivi karibuni haujaumwa au kutumia cipro(vidonge) au antibiotic zozote?
Dawa rahisi panado za ky na cocacola izo zingine bwembe
Tupe mrejesho mkuuKila kitu kinawezekana, wala usiwe na hofu..ni changamoto kama changamoto zingine tuu
No hamna mwenye tatizo afu sijaomba mapendekezo but nimeuliza mtu alifanya nin adi akapona ili na wengine wakisoma wajifunzeSasa binti Ahmed
Mwenye tatizo ni mumeo au ?!
Kidaktari dawa ya upungufu wa nguvu za kiume inategemea na nini chanzo.
Unaweza ukampa mgonjwa Viagra kumbe shida ni "psychological".
Kwa ninavyoijua JF, hamna mwanaume humu atakayekujibu swali hilo kuwa aliumwa akatumia nini akapona.No hamna mwenye tatizo afu sijaomba mapendekezo but nimeuliza mtu alifanya nin adi akapona ili na wengine wakisoma wajifunze
Nakuskiliza.Kwa ninavyoijua JF, hamna mwanaume humu atakayekujibu swali hilo kuwa aliumwa akatumia nini akapona.
Labda kama unataka ushauri wa Kidaktari nikupe.
Nimechelewa kukujibu sababu ya majukumu mengine.Nakuskiliza