Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

mbona hamueleweki?watu wameshaanza kutumia dose tena mnakuja na habri nyingine.....

Pole pole mkuu na hiyo dozi!..kwani nguvu ulizonazo hazikutoshi? Nadhani hii dozi ni kwa mtu aliyepungukiwa na nguvu za kiume kama sijakosea.

Du!..sometimes kuwa mwanamme ni kazi sana, ukikosa nguvu mtu unajisikiaje?
 
Waganga wa kienyeji watayafanyia majamboz matikiti maji siku sio nyingi. Tutasikia matikiti maji yameingiliwa na magonjwa na kunyauka huko mashambani.
 
Jamani tuwe makini kongeza hizo nguvu isije ikatokea issue kama ile ya Mapunda kuua mke wa rafiki yake kwa kuwa dose ilikuwa kali mno, ghafla mama wa watu mapigo ya moyo down mwishowe mwili wa baridi, kwisha!!!!
 
Hili tatizo ni kubwa, nakumbuka tangu enzi zile za early 80s, waganga wkijipanga pale Mnazimmoja, kila bango dawa/ugonjwa wa kwanza ulikuwa "nguvu za kiume" heeh, sasa leo ni 2009, hali ikoje? wacha tu watu wagundue dawa zaidi
 
mbona hamueleweki?watu wameshaanza kutumia dose tena mnakuja na habri nyingine.....

Mkuu ndio nini kisichoeleweka hapo, wewe ukila kula na mbegu zake, dont select, narudia tena mbegu ndio kiboko, hii imefanyiwa utafiti maeneo ya Mbingu uko Kilombero
 
pole pole mkuu na hiyo dozi!..kwani nguvu ulizonazo hazikutoshi? Nadhani hii dozi ni kwa mtu aliyepungukiwa na nguvu za kiume kama sijakosea..
Du!..sometimes kuwa mwanamme ni kazi sana, ukikosa nguvu mtu unajisikiaje?

I think it is the worst exprience ever!! Ukitaka belinda kujua anajisikiaje tafuta mwenye hilo tatizo mpe offer uone
 
hahhahaha weee nawe ukisikia tu unapractise utaumia kijana ohooooooo
Inawezekana anatafuta matibabu mwenzio. Ndio maana ameona naye ajaribu, may be anaweza kupata nusra na tatizo lake kumwishia.
 
i think it is the worst exprience ever!! Ukitaka belinda kujua anajisikiaje tafuta mwenye hilo tatizo mpe offer uone

Nguli
I can imagine, ni kumshukuru Mola kwa kila anachotujalia maana wengine hawana. Ukipata kheri na ukikosa usijutie..
 
Inaonekana wabongo wengi wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume? yaani mtatumia hadi migomba kwa mtindo huu.muhimu ni kula vyakula vya kurutubisha mwili tu.
 
inaonekana wabongo wengi wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume? yaani mtatumia hadi migomba kwa mtindo huu.muhimu ni kula vyakula vya kurutubisha mwili tu.
Life style ya wabongo wengi si nzuri, na imawezekana ili likawa ni tatizo kubwa sana miongoni mwa jamii.
 
inaonekana wabongo wengi wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume? yaani mtatumia hadi migomba kwa mtindo huu.muhimu ni kula vyakula vya kurutubisha mwili tu.
Ukisoma magazeti hasa ya michezo utakuta matangazo ya dawa za kuongeza nguvu za kiume kibao hivyo utagundua Tanzania kunatatizo..
 
Life style ya wabongo wengi si nzuri, na imawezekana ili likawa ni tatizo kubwa sana miongoni mwa jamii.

Ukisema wabongo tu, I think you are missing the point!

Mimi ninafikiri ni tatizo la dunia nzima. Kwa mfano, wachina wanadawa za aina nyingi sana za nguvu za kiume. Usisahau westerner na brand zao za VIAGRA zilizoko sokoni. Pita chini yoyote ile duniani, iwe Africa au Asia, USA, etc, kutoka kijijini mpaka mjini, kila jamii ina dawa wanayoamini inaongeza nguvu za kiume.

Tatizo lingine ambalo ni serious ni PE (Premature Ejaculation) liko sana ila kila mtu yuko kimya, may be this requires another thread.
 
I am worry with the new discovery, it may enchance hiv/aids spread. watu watasahua kutumia condom when they become too vigour!
 
Tatizo lingine ambalo ni serious ni PE (Premature Ejaculation) liko sana ila kila mtu yuko kimya, may be this requires another thread.
Hilo halihitaji dawa ni mazoezi......jipe kwa kujizuia anza na kupiga punyeto then zuia bao fanya hivyo mara 3-4 kila siku litaisha......
 
Ni vizuri kwa watanzania wakipata habari km hii ili kusaidia jamii kutambua tiba sahihi kwa wale wenyetatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
 
Just change your life style, mchawi wa Nguvu za kiume ni mwanamme mwenyewe

Kama una tatizo hilo basi nakushauri:

Fanya yafuatayo;

1: Fanya Mazoezi

Hii itasaidia an even flow of blood katika viungo vyote ya mwili ikiwemo penis

2: Kula Vizuri yaani balance diet


Acha yafuatayo;

1: Sigara aka Fegi
2: Pombe
3: Drug abuse

Note:

1: All in all usiamini wala kufikiri kwamba huna nguvu za kiume, kwa kufanya hivyo unakaribisha tatizo au kama unalo unaliongeza

2: Unapohisi una tatizo kuwa makini na watu unaotafuta ushauri kwao coz others wanaweza kukuongezea tatizo badala ya kulisolve

Asanteni:
 
Hili ni jambo la kweli. wengi tulikuwa tunajua hivyo muda mwingi. lakini kumbuka, matikiti maji ya hapa bongo kwetu, si mazuri, kwasababu yanakuzwa kwa mbolea. wengi wetu tuna mashamba makubwa sana huko mkuranga na kibaha ya matikiti maji na mapensheni.

Mbolea inawekwa nyingi hivyo, hakika mtu anayekula lile tikiti anakuwa anakula mbolea nyingi sana, yaani chemicals nyingi sana pamoja na kwamba linakuwa kuuuubwa, taaaamu na lina maji meeengi.
 
Anweza kujitahidi kula Matunda kwa wingi nyama kidogo aina mbali mbali Maziwa NK

Pia Samaki kama Salmon na Oyter kama atawapata hata samaki wa kawaida soup yake halafu pia atafute kwenye google
 
Back
Top Bottom