Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

At least matatu (3), dah basi ipo kazi... wastani wa tikiti maji moja ni kama kilo na nusu sasa yakiwa matatu karibia kilo tano hapo...!

Wakulima soko hilo, mshatangaziwa... sasa kazi kwenu.


Hapo ni kutengeneza Juicy ya tikiti ndoo nzima badala ya kunywa maji unajivinjali nayo tu kama ni kweli basi itabidi niongeze shamba langu kule BOKO....wale akina Dr Kifimbo na majimarefu waandike maumivu!
 
Wana ndugu habarini za kwenu;wa asb za asbh wa mchana za mchana na wajioni za uussiku....

Nilikuwa na tatizo moja kidogo ambalo naona wana jf baadhi wana mawazo tanashati kuhusu mambo ya uzazi na engineyo...kuna mtu alinielekeza matatizo alionayo..nikaona kwenye msaada nijaribu kuona tutasaidiaje...

Kuna kijana wetu yeye ameoa ana muda kidogo katika kucheki mara ya kwanza wakakuta nguvu za kuzalisha mbegu ndogo sana wakampa dawa akatumia miezi 3 ....alipoenda kupima akakutwa zimerudi norma...sasa dk akamshauri kupima vipimo 3 ambayvyo vilijumuisha hormones.....viwiili vikawa norma ila hiki cha hormones test ikakutwa ana hormones za kike 96%....na za kiume 1.9 ambazo kwa kawaida zinatakiwa kuanzia 2.2-10

Ndugu msomaji kama una aidia mawazo tuweze kuongeza uzao wa mwana JF MWINGINE BASI SHIRIKI KATIKA HILI...ATUMIE DAWA GANI NZURI KUMUONGEZEA HII MEN HORMONES....WAKATI WA MONGEZI AKASEMA ALIKULA SANA MAKUKU YA KISASA WAKATI WA KUKUA...JE INAWEZ KUWA TATIZO...NA KAMA NDIO KUNA NJIA ZAIDI KURUDISHA HALI NDUGU YETU...

KILA LA KHERI NA MAWAZO YENYE BUSARA
 
Kwa sasa hivi anatumia dawa ya promone kwa miezi mitatu....je kuna sharp zaidi ya hiyo???
 
Wanaushauri ule yale yenye rangi ya njano zaidi yanaongeza nguvu na uendelevu wa mbegu za kiume....
 
Kama nia ni kumkomoa demu basi nenda kwenye viagra lakini kama ni kwa ajili ya afya ya uzazi kutumia mara kwa mara juice yake inatosha.
 
Kama nia ni kumkomoa demu basi nenda kwenye viagra lakini kama ni kwa ajili ya afya ya uzazi kutumia mara kwa mara juice yake inatosha.


Kwenye mapenzi hakuna kukomoana ndugu. Ukiwa na lengo la kumkomoa demu hujue tayari una matatizo na unaitaji tiba
 
Mmmm interesting!!! nasikia haswa mbegu zake ndio noma kabisa...kadhalika kula pumpkins mbegu zake ni natural viagra! waulize kabila la busoga uganda!
 
Duh kumbe unatakiwa upige mazima kama 3 hivi ndio unaongeza maswala ya hamu duh hayo matatu mpaka uyamalize adhabu mi nilitaka nijiwekee ratiba ya kupitia Ubungo pale nakamata vipande vyangu kisha naenda home.
 
Hii ni habari njema kwa wengi. Ila ni habari mbaya kwa waganga wa kienyeji maana watakosa soko kabisa kwa maana tikiti wala kama tunda na kumbe ni dawa vile vile
 
Salaam,
dar es salaam siku za karibuni umeibuka mtindo mpya wa kunadi biashara kwa njia ya matangazo ya kwenye vitambaa.

Ukipita mitaa kadhaa utakutana na mabango yameandikwa 'dawa ya nguvu za kiume muone dr manyuki', manyigu na waganga wengine wengi.
Pia wapo wamaasai ambao wanapita bar na kuwauzia watu hizo dawa za kuongeza nguvu za kiume na kurefusha uume.

Je nini madhara ya hizo dawa ambazo hazijapimwa na wala hazijatafitiwa??
Kwa nini wote wanao jitangaza kwenye magazeti, kwenye mabango na wanaouza mitaani hayao madawa wasikamatwe kwa kuhatarisha afya za watu??
Kwa mtazamo wangu watu wengi hawana matatizo yanayohitaji dawa za kuongeza nguvu, cha zaidi wapatiwe ushauri wa kisaikolojia, waelekezwe namna ya kula chakula bora na kuzingatia mazoezi.

Ikishindikana ndipo daktari aandike dawa, lakini si hawa waganga waanze kuwashawishi watu wanunu hayo ma mikuyati
 
mmmm interesting!!! nasikia haswa mbegu zake ndio noma kabisa...kadhalika kula pumpkins mbegu zake ni natural viagra! waulize kabila la busoga uganda!

Maboga nayo kumbe yamo!? duh... Matango je?
 
Ila ningependa kaka zetu muwe makini na timely inovations kuhusiana na hili. Tunakoelekea ni ktk kutengeneza mix-gril. Akumbukwe mtumia unga wa pembe ya kifaru kutoka souz, ali ji kili softly within a day baada ya majamboz kupitiliza
 
Kuna kitu wazungu walikiita functional strength na cultural superiority. unachoongelea kupimwa na kushikwa kimawazo, lakini dawa hizo zina kitu tunakiita therapeutic index kubwa sana, kiasi kwamba unywapo sio rahisi kudhurika kama hizi za kizungu ambazo ni concentrate.

Usiogope kaka, hata hivyo nguvu ya kufanya ngono ni uwezo wako wa kujenga hisia kichwani , na kujiaminisha kuwa unaweza. wala haihitaji dawa,ilimradi uwe na pumziko la mwili na akili.
 
Matikiti Maji Yanaongeza Nguvu za Kiume'
Matikiti Maji Yanaongeza Nguvu za Kiume Thursday, July 09, 2009 5:22 AM
Watafiti wa nchini Marekani wamegundua kwamba matikiti maji yanaongeza nguvu za kiume na yanasaidia kutoa tiba kwa wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume.
Watafiti katika chuo kikuu cha Texas A&M wamegundua kwamba matikiti maji yanaweza yakatumika kama "Viagra ya Asili" kwa wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume.

Watafiti hao walisema kuwa tikiti maji lina amino acid nyingi za citrulline ambazo huifanya mishipa ya damu itanuke na iwe katika hali kama ile ambayo mtu anayetumia viagra au madawa ya kuongeza nguvu za kiume huwa nayo.

Citrulline ikiwa mwilini hugeuka kuwa "arginine" mojawapo ya aina za amino acid. Hali hii husababisha kuongezeka kwa kiwango cha nitric oxide kwenye damu. Nitric oxide husaidia kuifanya mishipa ya damu itanuke.

Hata hivyo watafiti hao hawakuweka wazi idadi ya matikiti maji ambayo mwanaume anatakiwa kula ili aweze kuwa na nguvu za kiume kama za viagra.

Bhimu Patil, mkurugenzi wa maabara iliyofanya utafiti huo alisisitiza kuwa ulaji wa tikiti maji wa mara kwa mara unasaidia kuzuia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Mojawapo ya faida nyingine ya tikiti maji iliyotajwa ni kusaidia kushusha shinikizo la damu.
 
there's s similar thread..soemwhere....mbona watu mnabandika bandika tu bila ku cross check.....mods futa moja au zi combine
 
Nimekaa na wadau tumepata ufafanuzi kuwa mbegu za matikiti kwa ndio zinztisha zaidi kwa kuongeza nguvu za kiume kwa muda mrefu zidi ukilinganisha na maji yake pekee. Lakini ikumbukwe kuwa nguvu hizi sio za kudumu hata kama ungekula ndoo nzima ya mbegu za matikiti.
 
Nimekaa na wadau tumepata ufafanuzi kuwa mbegu za matikiti kwa ndio zinztisha zaidi kwa kuongeza nguvu za kiume kwa muda mrefu zidi ukilinganisha na maji yake pekee. Lakini ikumbukwe kuwa nguvu hizi sio za kudumu hata kama ungekula ndoo nzima ya mbegu za matikiti.
mbona hamueleweki?watu wameshaanza kutumia dose tena mnakuja na habri nyingine.....
 
Back
Top Bottom