Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Mi nadhani hizi ni mbinu tu za kufanya watu wale matunda..maana mtu mpaka aambiwe na doctor ndio ale matunda.Leo hii akitokea doctor feki akasema machungwa yanaongeza miaka ya kuishi duniani.

Baada ya wiki sijui jama tutayaona machungwa barabarani
 
mi nadhani hizi ni mbinu tu za kufanya watu wale matunda..maana mtu mpaka aambiwe na doctor ndio ale matunda.Leo hii akitokea doctor feki akasema machungwa yanaongeza miaka ya kuishi duniani..Baada ya wiki sijui jama tutayaona machungwa barabarani

Madahara ya matikiti aulizwe Fidel80!
 
Kama nia ni kumkomoa demu basi nenda kwenye viagra lakini kama ni kwa ajili ya afya ya uzazi kutumia mara kwa mara juice yake inatosha.
...Hii ni mupya kabisa. Kwa hiyo unakula hilo tikiti maji muda gani kabla hujaanza kukutana na mamsapu?
 
Duuh, haka katiba kanvutia kweli, sababu matikiti maji yanaladha ambayo kila mtu aweza itumia,tatizo ni kutokujua idadi inayotakiwa, lakini pia ninaimani matunda mengi huondoa matatizo ya kiafya!!
 
Hii mada inafaa sana watu wanofanya kazi bank wana matatizo ya nguvu za kiume unabishaaa?

Lol! Mkuu umeanzisha vita na vijana wa CRDB, NMB na NBC. Hasahasa wa NBC ndio naona wanahitaji msaada zaido.
 
ngoja watakuja wenyewe hapa kudhibitisha, kwa vile baadhi yao wamo humu ndani na wanjua wanaingia kazini saa 7am wanatoka saa 3 usiku na extreme concentration......akiwa ametoka chuo akafanya kazi kwa miaka 4 ndio akaoa after 3 yrs akina Chrispin na Masa wanabeba wake zao na kama ni mwanamke anakuwa na sura ya kiume na misuli kbs......

Mkuu nipasie contacts za wake za wafanyakazi wa bank kama unazo. Kazi yetu sisi ni kutoa huduma za jamii kwa wanaozihitaji. Anza na ya mke wa Burn, naona atakuwa bank huyu.
 
ngoja watakuja wenyewe hapa kudhibitisha, kwa vile baadhi yao wamo humu ndani na wanjua wanaingia kazini saa 7am wanatoka saa 3 usiku na extreme concentration......akiwa ametoka chuo akafanya kazi kwa miaka 4 ndio akaoa after 3 yrs akina Chrispin na Masa wanabeba wake zao na kama ni mwanamke anakuwa na sura ya kiume na misuli kbs......

Mkuu hiyo ni general sana, kuna jamaa anafanya kazi Stanbic utadhani huwa anaoga hayo matikiti, ni malaya kupitiliza, kila mwanamke anamtaka yeye sasa hiyo formular yako kwake si itakuwa haisomi?
 
Mkuu hiyo ni general sana, kuna jamaa anafanya kazi Stanbic utadhani huwa anaoga hayo matikiti, ni malaya kupitiliza, kila mwanamke anamtaka yeye sasa hiyo formular yako kwake si itakuwa haisomi?
Asingekuwa anafanya kazi bank huyu angekuwa another LIUMBA! anyway labda yuko customer care sio credit au operations
 
Nadhani whether yanaongeza ama la ni vizuri tu kuyala mara kwa mara. Itaongeza ata nguvu zingine si lazima za kiume tu

kweli mzee, kula tu si lazima yakuongezee nguvu za kiume, hata za kike tu zinatosha muzee.
 
Ndio maana yake sasa mchicha mwiba kama wewe atafanyia nini?nikusukumie namba ya mtu mzima?

Swahiba au wivu nilivokupiga bao kwa FL1? Acha wivu, sitamhamishia kwangu kiujumla
 
Mkulu unaelewa ukubwa wa tikiti maji? au unamaanisha vipande vitatu.Matikiti maji matatu huo ni mlo kabisa.
 
Hiyo inaweza kusaidia, hebu mjaribu.

naona mnahamu sana mjue reaction yake, ila mwenyewe anajua huu muziki hawezi kuja hapa akiamka mpeni hii kwanza asikilize [ame="http://www.youtube.com/watch?v=ynt7HeKcSKs"]http://www.youtube.com/watch?v=ynt7HeKcSKs[/ame]
 
Back
Top Bottom