MATATIZO mengi yanatokana na kujichanganya saaaaana - kukutana na ladha/vionjo tofauti vya kila aina hadi mwili unachanganyikiwa unashindwa ( confusion tupu.Performance inadorora).
kisha nakuwa na white mwembamba kama wa pale Singida.
We Fidel ni mchokozi... Mbona unamchokoza Mrs Bond wakati unajua ni
mgeni kwenye JF, hata wiki hana huyo..!!! Figa yake inakuchanganya ee?
Ni mke wa mtu huyo..na watu wa Singida ni wakorofi
mbaya... wanakatakata na viwembe!!!..Shauri yako..
hehehe mkuu mke wa mtu mtamu ila ukikamatwa majuto mjukuu.
Ila si unajua penzi la kificho lilivyo taamu yaani la kuibia dah balaa.
Hamna kitu....Mtamu, kwani mashine yake ina mpya gani wewee? Ni
ileile kama ya yule Chausiku wako!!! te he te heee !! Hv hujawahi
kutolewa meno ya barazni?
Polygamy should never be legalised as it brings many disasters in families. Aids is one of the possibilities but also peace usually goes away.
Kuna uvumi (hear say) kuwa mwanaume akivaa madini dhahabu itamwathiri kwa kumpunguzia uwezo wake kweny yale mambo yetu yalee! Wadau kuna ukweli wowote?
Nice Discovery,lakini wadau haya matikiti maji bila shaka yana msimu!!!Kwa mwaka yanapatikana kwa kipindi fulani tu then jiiiiiii!!mpaka mwakani.
Hapa naona linatafutwa soko la matikiti maji kwa nguvu zote
Duh! Huu kama si uchokozi sijui...!Hakika ni habari njema sana,hasa kwa wale wenye matatizo ya nguvu za kiume.Hakuna haja tena ya kutumia mkunyati n'k.YoYo umesikia mambo hayo?
At least matatu (3), dah basi ipo kazi... wastani wa tikiti maji moja ni kama kilo na nusu sasa yakiwa matatu karibia kilo tano hapo...!idadi ni at least matatu (3) kwa siku kwa mtu mmoja. Sio ule vipande njiani Ubungo halafu uanze kufikiri kuwa leo demu wako atakukoma