Tatizo la Tundu Lissu, hana Roadmap!

Tatizo la Tundu Lissu, hana Roadmap!

Apongeze ili iweje?
Ametoa ushauri mara ngapi kwenye madini huko haukuchujuliwa?

Tatizo Wabongo kama wewe ni wepesi mno kusahau ila zaidi zaidi mnaendeshwa na mihemko
Kukaa kimya nayo ni tunu.
 
Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
Unajua tuko hapa tulipo kwa kupenda pongezi pongezi zimetuziba ufahamu cmnasikia wale wasiopongezawanavyoitwa kwa pingu kuna yule aliyesema unatenda lakini unawaziba pumzi wanaosema kwa nini nawe unatenda kama wengi wanakupongeza mbona hufurahi na wengi we unateseka na mmoja asiyekupongeza au kwa huyo mmoja unawaona wengi je wale wanaopongeza huwaamini??????????
 
Mbona nyie wepesi wa kufikiri mmekazania kutotoa pongezi?
Pongezi ni tunda la kuridhika.
Sasa matusi, dhihaka na dharau za Lissu je?
Hizo mwaona poa tu au siyo?
 
Mleta mada nitakujibu hapa hapa baadhi ya hoja zako muhimu.

Ni kosa kubwa sana kumlinganisha Tundu Lissu na Mzee Jiwe. Wakati Tundu Lissu anatumia hoja zake kama nguzo yake ya kuwashawishi watu na dunia nzima iweze kuelewa kile kinachoendelea Tanzania, Mzee Jiwe yeye kajifungia ndani ya nchi, anakwepa kutoka ndani ya nchi, anatumia kick, mamlaka, nguvu na ubabe ili watanzania wote tuamini na tumuunge mkono, na yoyote atakayempinga au kumkosoa anageuzwa kuwa adui yake na adui wa taifa la nzima.

Tundu Lissu amekuwa makini na mstahimilivu katika kupigia kelele hoja zake, mwanzoni alionekana kama kupuuzwa(wakati aliposema Tz imepata dikteta uchwara), leo hii kila mtu duniani anayetaka kujua kinachoendelea kisiasa tanzania anatamani kusikia kila kinachosemwa na Tundu Lissu. Lissu anavutia kumsikiliza, anashawishi na anaaminika sana kwa sasa.

Hayo ni mafanikio makubwa sana kwake. Tunaelezwa zaidi ya vyombo vya habari 22 vikubwa katika nchi za ulaya na Marekani vimeomba kufanya mahojiano na Lissu. Kumbuka Lissu bado ni mgonjwa anayetibiwa nje ya nchi. Shauku yote hiyo ya hao watu inatoka wapi? Nadhani hoja zake zimeiva, zinalika.

Tukija kwa mzee Jiwe hali ni tofauti sana. Mpaka sasa watanzania hatujui tunapelekwa wapi. Wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima, wanafunzi, wachimba madini, wawekezaji nk. wote tupo njia panda. Kila analolifanya linageuka kuwa mwiba wa kumchoma yeye mwenyewe. Mambo ya sukari yakamshinda, Tanzania ya viwanda imegeuka kuwa hadithi ya kiuwendawazi(Charles Mwijage anayajua haya), Makinikia imegeuka hadithi ya simanzi(Kwa sasa hata Kabudi anaogopa kuliongelea), Ndege nacho kitendawili chenye maumivu(Mheshimiwa ameshanusa ATCL hawawezi, ni hasara tupu), Korosho imekuwa hadithi ya uchungu(Hadi jeshi limesalimu amri), Ukusanyi wa kodi nao hali ni mbaya(Dr.Mpango kichwa kinamuuma), Kikotoa chake alichokitengeza yeye mwenyewe amekuja kukikana(Mama mhagama anajua hayo..), Ufisadi nao ndio umemea kama magugu(Sakata la Trilioni 1.5 linamnyima raha, hana wa kumtwika, Dr.Assad anatafutiwa sababu ya kutolewa kafara) Kipi tena? Kuna jipya?
 
Umeandika mada ambayo hata kuielewa ni wewe mwenyewe. Umeiba msamiati kijiweni wa roadmap halafu ukaupapatikia kuandika Uzi. Roadmap ya Lissu aiweke wapi sasa? Itatekelezwa? Kwa hiyo unataka kiazi chenu kisaidiwe kufikiri? Bro wewe ni wa hovyo sana.

Eti hukupendezwa na Lissu kushambuliwa ila alishambuliw kwa sababu ya Maneno yake ya kuudhi. Kwa hiyo unahalisha kushambuliwa kwa sababu ya Maneno ya kuudhi. Maneno gani? Eti hapongezi yeye anakosoa tuu!

You are a joke
 
Uko jf tangu 2008 lakini ni mweupe kichwani utadhani Ndugai ! hivi ni wapi ambapo humuelewi Lissu , Hayo Makinikia yamekusaidia nini ? labda kwa taarifa yako ni kwamba Lissu anachopigania ni utawala wa Sheria , mmeleta ubabe kwenye madini imewasaidia kitu gani zaidi ya kukimbiza wawekezaji ? noah ziko wapi , ile ya good faith iko wapi ? mnaharibu kila mahali sasa mmeingia kwenye kilimo , ngoja tuone mwisho wenu .
Lol...wewe una nini kichwani? JF buana
 
Siungi mono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.

Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.

Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.

Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?

Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
mtaicheza sanaa[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji83] [emoji83] [emoji160] [emoji126] [emoji126] [emoji196] [emoji216] [emoji216] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
Screenshot_2019-01-26_190907.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada nitakujibu hapa hapa baadhi ya hoja zako muhimu.

Ni kosa kubwa sana kumlinganisha Tundu Lissu na Mzee Jiwe. Wakati Tundu Lissu anatumia hoja zake kama nguzo yake ya kuwashawishi watu na dunia nzima iweze kuelewa kile kinachoendelea Tanzania, Mzee Jiwe yeye kajifungia ndani ya nchi, anakwepa kutoka ndani ya nchi, anatumia kick, mamlaka, nguvu na ubabe ili watanzania wote tuamini na tumuunge mkono, na yoyote atakayempinga au kumkosoa anageuzwa kuwa adui yake na adui wa taifa la nzima.

Tundu Lissu amekuwa makini na mstahimilivu katika kupigia kelele hoja zake, mwanzoni alionekana kama kupuuzwa(wakati aliposema Tz imepata dikteta uchwara), leo hii kila mtu duniani anayetaka kujua kinachoendelea kisiasa tanzania anatamani kusikia kila kinachosemwa na Tundu Lissu. Lissu anavutia kumsikiliza, anashawishi na anaaminika sana kwa sasa.

Hayo ni mafanikio makubwa sana kwake. Tunaelezwa zaidi ya vyombo vya habari 22 vikubwa katika nchi za ulaya na Marekani vimeomba kufanya mahojiano na Lissu. Kumbuka Lissu bado ni mgonjwa anayetibiwa nje ya nchi. Shauku yote hiyo ya hao watu inatoka wapi? Nadhani hoja zake zimeiva, zinalika.

Tukija kwa mzee Jiwe hali ni tofauti sana. Mpaka sasa watanzania hatujui tunapelekwa wapi. Wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima, wanafunzi, wachimba madini, wawekezaji nk. wote tupo njia panda. Kila analolifanya linageuka kuwa mwiba wa kumchoma yeye mwenyewe. Mambo ya sukari yakamshinda, Tanzania ya viwanda imegeuka kuwa hadithi ya kiuwendawazi(Charles Mwijage anayajua haya), Makinikia imegeuka hadithi ya simanzi(Kwa sasa hata Kabudi anaogopa kuliongelea), Ndege nacho kitendawili chenye maumivu(Mheshimiwa ameshanusa ATCL hawawezi, ni hasara tupu), Korosho imekuwa hadithi ya uchungu(Hadi jeshi limesalimu amri), Ukusanyi wa kodi nao hali ni mbaya(Dr.Mpango kichwa kinamuuma), Kikotoa chake alichokitengeza yeye mwenyewe amekuja kukikana(Mama mhagama anajua hayo..), Ufisadi nao ndio umemea kama magugu(Sakata la Trilioni 1.5 linamnyima raha, hana wa kumtwika, Dr.Assad anatafutiwa sababu ya kutolewa kafara) Kipi tena? Kuna jipya?
Mshaurini tu Tundu Lissu, akimaliza kutoa hewa chafu juu ya Tanzania, arudi apambane na hali yake.
 
Umeandika mada ambayo hata kuielewa ni wewe mwenyewe. Umeiba msamiati kijiweni wa roadmap halafu ukaupapatikia kuandika Uzi. Roadmap ya Lissu aiweke wapi sasa? Itatekelezwa? Kwa hiyo unataka kiazi chenu kisaidiwe kufikiri? Bro wewe ni wa hovyo sana.

Eti hukupendezwa na Lissu kushambuliwa ila alishambuliw kwa sababu ya Maneno yake ya kuudhi. Kwa hiyo unahalisha kushambuliwa kwa sababu ya Maneno ya kuudhi. Maneno gani? Eti hapongezi yeye anakosoa tuu!

You are a joke
Mkuu kama huna kichwa cha kuelewa, sepa tu.
Nilisema huko nyuma, si lazima wote muelewe, hata darasani kuna wa mwisho.
 
Write your reply...
Eti roadmap?My left filthy and stinking foot!Haya,hao wenye roadmap wamefikisha nchi wapi?Kwani hiyo roadmap ni kama nyota angani kwamba utasema ,tazama, roadmap ile paleee inang'aa!!?
Without a visionary, foward thinking leader, wapiga kelele kama Lissu ni makida makida tu.
Matusi na dharau zake hazitakupa lishe wala shibe.
 
Back
Top Bottom