Tatizo la Tundu Lissu, hana Roadmap!

Tatizo la Tundu Lissu, hana Roadmap!

[QUOTE="Jidu La Mabambasi, post: 30172244, member:[ /QUOTE].... lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.
[/QUOTE]

Kweli kabisa unamaanisha hiki ulichokiandika?

Siku zote Tundu Lissu amekosoa kwa huku akisisitiza sheria na katiba kuzingatiwa kwa kila lifanyikalo...

Ipo mifano mingi. Manunuzi, matumizi nje ya bajeti iliyoidhinishwa na binge kwa maamuzi ya mtu mmoja Rais nk nk

Manunuzi ya ndege kwa "cash" kikao kipi cha bunge kiliidhinisha bajeti hiyo?

Ujenzi wa uwanja wa ndege mpya kabisa wa Chato, ni kwa bajeti gani iliyopitishwa na bunge?

Msululu ni mrefu.

Yote yanafungwa na bwana mkubwa kutofuata taratibu, sheria na kikubwa katiba aliyoapa kuilinda!!
 
Siungi mono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.

Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.

Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.

Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?

Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
Kwani Lissu anazuia kujenga au kununua haƴo mavitu ambayo serikali inatekeleza?
The goernment has all resources at hand implement anything, itekeleze!
Mambo ya kupongezwa huwezi kulazimisha klla mtu akukubali! Kama ni mambo yenye tija ƴamafanƴwa na Serikali yetu watu waachwe waone na waƴakubali wenyewe na si kwa shinikizo!
Kama kuna wananchi hawaridhiki na namna nchi inavƴoongozwa ni haki yao.
Mnalalama na kuhangaiƙa kwa kuwa matenɗo na maneno ƴenu ƴamekosa ushawishi kwa watu. Kilichobaki kwenu ni chuki na ubabe kwa wanao wakosoa waziwazi! Msitaarabike!
 
Kwanza mtoa mada sijawahi kusikia mtu yeyote anapinga maendeleo Kama ujenzi was relieved, ununuzi wa ndege, n.k

Kinachopingwa ama kupigiwa kelele na hata Mimi nawaunga mkono kwa kiasi Fulani Ni utaratibu unaotumika kutekeleza miradi.

Tuanze na ndege: nchi yetu masikini inategemea misaada kufanya miradi mbalimbali achikia mbali kondoms, madawa including ARV tunapewa msaada hivyo tungeanza kupunguza utegemezi wa misaada huku kwenye madawa wakati huo huo tutumie fedha zetu walau tulipie ndege nusu na nusu mkopo. Badala yake tumetumia fedha nyingi kulipia ndege ilihali madawa Ni changamoto.

Pili Stiglers gorge, huu mradi sikuona na Bado sijaona sababu za msingi tumeacha kuzalisha umeme kwa kutumia gas Hadi kwenda kuharibu 1000km za msitu. Wakati ilikua Ni kununua turbines tu za kuzalisha umeme maana gasi ipo kinyerezi na tunalipia Hilo bomba. Kichopingwa sio umeme utakaopatikana Bali gharama zake 7trillion
 
Ni wazi kuwa hujafanya homework yako juu ya gharama za umeme so far.
Ungekuwa umepitia gharama hizo ungegundua kuwa gesi imetumia karibia 2.2 Trilion so far kwa ajili ya umeme 390MW.
Wakati 6.5 Trillion zitaleta 2100MW.
Hapo linganisha mwenyewe kipi bora.
 
Mkuu Kuna kitu Bado nawe huelewi pia, baba mwenye nyumba anakiri Kuna ufisadi ulifanywa...... Sasa kwa kuwa yeye yupo Vizuri naamini a better deal could be negotiated.
Lakini turn around time kwa gas Ni ndogo Sana ukilinganisha na hiyo hydro.

Pia Hali ya ukame inatishia viability in the next 20yrs including miaka 3 ya ujenzi.

Lakini pia tutaondolewa kwenye list ya world heritage hivyo vivutio vinakosa sifa muhimu. Ultimately utalii unaweza kupunguza au Kasi ya ukuaji ikapungua.

Yapo mengi when analysing a project angalia pia social, political, environmental impact which could be demaging kuliko economic impact.
 
Siungi mono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.

Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.

Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.

Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?

Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
Mwanafunzi ana uwezo wa kupata asilimia zaidi ya tisini kwa mia ana kila kitu cha kumfanya afanye vizuri Kwa miaka zaidi ya hamsini anapata asilimia tano,Saba havuki zaidi ya hapo bado anasumbuliwa na maadui watatu ujinga,maradhi na umaskini unataka apongezwe Kwa lipi? Au kisa safari hii kapata asilimia Saba????
 
Mkuu ni
Mkuu Kuna kitu Bado nawe huelewi pia, baba mwenye nyumba anakiri Kuna ufisadi ulifanywa...... Sasa kwa kuwa yeye yupo Vizuri naamini a better deal could be negotiated.
Lakini turn around time kwa gas Ni ndogo Sana ukilinganisha na hiyo hydro.

Pia Hali ya ukame inatishia viability in the next 20yrs including miaka 3 ya ujenzi.

Lakini pia tutaondolewa kwenye list ya world heritage hivyo vivutio vinakosa sifa muhimu. Ultimately utalii unaweza kupunguza au Kasi ya ukuaji ikapungua.

Yapo mengi when analysing a project angalia pia social, political, environmental impact which could be demaging kuliko economic impact.
Mkuu nilikushauri, kama hujafanya homework yako facts will beat you.
Talk of project turn around?

Mradi wa gas ulianza 2013 kwa kujenga bomba la gesi toka Mtwara.
Hadi leo, 5years later hatujakamilisha kupata 390MW za Kinyerezi I&II.
Turn around ya Hydro kule Stiegler ni 3 years.
Amua mwenyewe.

Pili, ukitaka kumsikiliza mzungu ilinakuambie huwezinkitu sababu hii na ile, huo ninuamuzi wako binafsi.

Kwa mawazo kama yako, 3 Gorges Dam ya kutengeneza umeme mwingi sana, 22,500MW, usingetekelezwa.
 
Hata wakati was JK maneno hayo hayo yalitumiwa kwenye gas.

Muda Ni mwalimu mzuri. Mimi ngoja nihifadhi maneno yangu
 
Siungi mono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.

Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.

Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.

Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?

Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
Wadogo zangu huku skuli ya Kata nilipo soma Wengi wamekula zero... Elimu bure bila vitendea kazi??????.... Hata vile vitabu vya US aid haviji tena... Unataka na mm nishangilie uwanja wandege Chato na bombadiaa???????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wakati Tundu Lissu anawapigania wachimbaji wadogo wadogo wa Nyamongo wasiuawe na sumu za wawekezaji (mabeberu) walioletwa na CCM (waliomuua Nyerere) Uliona Magufuli au Mkapa wakimpongeza Lissu?
Wakati Lissu anatuonya kuhusu Makinikia (hata wewe hujui yameishia wapi) Uliona Magufuli akimpongeza Lissu,au alimpongeza kwa Risasi 16?
Wewe ukipongeza inatosha,kama nyie mlimpongeza Lissu kwa risasi 16 ACHA AWAPONGEZE KWA KUWACHOMOA IKULU 2020 kwa kuwatumia hao hao ambao wakiwa upande wenu ni WAHISANI NA WAWEKEZAJI wakiwa upande wa watanzania na wapinzani ni MABEBERU.
 
Siungi mono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.

Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.

Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.

Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?

Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.

Enzi ya Mkapa alipokuwa anaongelea madini niliona kama anapigania maslahi ya watu wengi waliokuwa hawajui yanayoendelea. Awamu ya tano amegeuka. Yeye ndio msemaji na mtetezi wa wale aliosema wanawaibia watanzania.
Najiuliza kama mtanzania, TL anasimama wapi kwenye maslahi mapana ya nchi yetu? As you say, siungi mkono hata kidogo issue ya yeye kupigwa risasi, ingawa namshangaa sana anaitakia nini nchi yetu
 
Kiukweli Mkapa was a big dissapointment.

JPM anafanya kile alichoahidi.
50~100 years to come wananchi wataikumbuka hii miradi mikubwa ya maendeleo, SGR, Stieglers Gorge na mingine.
 
Enzi ya Mkapa alipokuwa anaongelea madini niliona kama anapigania maslahi ya watu wengi waliokuwa hawajui yanayoendelea. Awamu ya tano amegeuka. Yeye ndio msemaji na mtetezi wa wale aliosema wanawaibia watanzania.
Najiuliza kama mtanzania, TL anasimama wapi kwenye maslahi mapana ya nchi yetu? As you say, siungi mkono hata kidogo issue ya yeye kupigwa risasi, ingawa namshangaa sana anaitakia nini nchi yetu
Uko jf tangu 2008 lakini ni mweupe kichwani utadhani Ndugai ! hivi ni wapi ambapo humuelewi Lissu , Hayo Makinikia yamekusaidia nini ? labda kwa taarifa yako ni kwamba Lissu anachopigania ni utawala wa Sheria , mmeleta ubabe kwenye madini imewasaidia kitu gani zaidi ya kukimbiza wawekezaji ? noah ziko wapi , ile ya good faith iko wapi ? mnaharibu kila mahali sasa mmeingia kwenye kilimo , ngoja tuone mwisho wenu .
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Hasira zake sasa anaeneza dunia nzima, tumhurumie tu.
Jihurumie mwenyewe zaidi maana TL anaweka kumbukumbu vizuri dunia ielewe, ni haki yake, msiweweseke, ninyi mlishatimiza mapenzi yenu ya kutaka kukatiza maisha yake, mwacheni aandike historia kwa maneno badala ya risasi kama nyie!
 
Apongeze ili iweje?
Ametoa ushauri mara ngapi kwenye madini huko haukuchujuliwa?

Tatizo Wabongo kama wewe ni wepesi mno kusahau ila zaidi zaidi mnaendeshwa na mihemko
 
Siungi mono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.

Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.

Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.

Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?

Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.

Bro kumbe wewe ni kiazi namna hii? Kwa hiyo kwako roadmap ni kuunga mkono na kupongeza? Na unapongeza tuu wimbo wa stigila? Wee kiazi aisee
 
Mbona wachekesha mkuu.
Kiazi nafikiri ni wewe ambaye hata maudhui ya mada yamekupita pembeni.
Soma uelewe.
 
Back
Top Bottom