Tatizo la Tundu Lissu, hana Roadmap!

Tatizo la Tundu Lissu, hana Roadmap!

Siungi mono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, akini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.

Amejitngenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.

Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.

Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?

Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
Jamaa ni mfano wa wasomi wa kibongo wanavyolewa elimu za vyuoni. Ni mropokaji wa asili.
 
Inawezekana, uko sahihi, ila wazungu wakimshika mkono , sidhani kama atapotea njia! Mbona nasikia wameshamuandaa kuwa katibu mkuu wa UN😛😛😛😛😀😀😀😀😳😳😳😳
Tundu Lissu najua aliumia sana kupona mauaji.
Lakini mtaji wa mwanasiasa ni watu wajue yeye anataka kuwapeleka wapi, na si jinsi anavyojua kuwatukana viongozi waliopo.

Katika mambo yaliyonisikitisha juu ya Lissu ni pale alianza hata kumtukana Mwalimu Nyerere.
Hapo nikajua mdomo utakiponza kichwa.
 
B

Afadhali lisu si mnafiki alimsema mwalimu hadharani, kuliko wale waliomsaliti mpaka kupelekea kumuua ili wauze rasililmali zetu.
 
Siungi mono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.

Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.

Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.

Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?

Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
Dawa ya watu kama Lisu ni kujibiwa kwa hoja tu na wala siyo nguvu . Lisu ni mtu anayetegema hoja hivyo dawa yake ni hoja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu najua aliumia sana kupona mauaji.
Lakini mtaji wa mwanasiasa ni watu wajue yeye anataka kuwapeleka wapi, na si jinsi anavyojua kuwatukana viongozi waliopo.

Katika mambo yaliyonisikitisha juu ya Lissu ni pale alianza hata kumtukana Mwalimu Nyerere.
Hapo nikajua mdomo utakiponza kichwa.
Kwaheri, nadhani elimu yako ni ndogo! Was Nyerere an angel? Nyerere alikuwa mwanadamu, vulnerablee to mistakes!
 
Katika nchi hii, Mwalimu is revered, ana heshima isiyo ya kawaida, si nchini tu bali Afrika na dunia kwa ujumla.
Heshima ya Mwalimu ndo heshima ya Tanzania.
Mtukane bila sababu za msingi, tena kwa uzembe uzembe, mkuu futi sita zitakuhusu
 
Hayo unayaona wewe ambaye hujui zaidi ya lile unaloambiwa na CCM. Usinichoshe kwaheri. Usijibu, potezea
 
Write your reply...
Eti roadmap?My left filthy and stinking foot!Haya,hao wenye roadmap wamefikisha nchi wapi?Kwani hiyo roadmap ni kama nyota angani kwamba utasema ,tazama, roadmap ile paleee inang'aa!!?
 
Back
Top Bottom