Tatizo la Tundu Lissu, hana Roadmap!

Tatizo la Tundu Lissu, hana Roadmap!

A tainted mind is within you...

Wake up!!

The history is a good fact teller...

Read my evy again, and again, and again... you will see what I mean...
Lets agree to disagree on inerpretations of facts.
But the facts remain thus:
1) So far gas driven power costing 2.2trillion has produced 390MW (not 490MW), from Kinyerezi I-150MW and Kinyerezi II-240 MW

2)Hydro power from Stieglers Gorge is to cost over 7trillion producing 2,100MW

Now you can interpret as you please.
 
Lissu atakuwaje na roadmap wakati hana mandate ya kuongoza nchi? Tangu lini umeona wachezaji ya Simba kushangiria goli liliofungwa na Yanga hata kama litakuwa ni zuri? Mpinzani si wajibu wake kusifia.kama ilivyokuwa jirani yako si wajibu wake kumsifia mume wako!
 
Lets agree to disagree on inerpretations of facts.
But the facts remain thus:
1) So far gas driven power costing 2.2trillion has produced 390MW (not 490MW), from Kinyerezi I-150MW and Kinyerezi II-240 MW

2)Hydro power from Stieglers Gorge is to cost over 7trillion producing 2,100MW

Now you can interpret as you please.

Yeah, you are right...

What we urge you is, don't shot us with guns with our interpretations!!

I don't agree with you, I don't trust CCM and their leaders especially "petty dictator" Pombe, their policies and programmes and followers like you...
 
Siungi mkono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.

Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.

Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.

Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?

Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
Ndege, SGR, S. Gorge, (kipato, maji safi na salama, barabara za vijijini, elimu bora NK)
 
Yeah, you are right...

What we urge you is, don't shot us with guns with our interpretations!!

I don't agree with you, I don't trust CCM and their leaders especially "petty dictator" Pombe, their policies and programmes and followers like you...
Trust is relative.What makes you think I can trust CHADEMA, or its cohorts and henchmen?
 
You proposed and I accepted that we should agree in disagreements, right?

It's doesn't matter to me whether you trust them or not because it's your choice, and, to me, I said I never had trust in CCM neither will I.....

So, if you don't trust CHADEMA or any other political party, it's okay. No body will shot you with Machine Gun as you do there to your political game opponents...
 
Tundu Lissu najua aliumia sana kupona mauaji.
Lakini mtaji wa mwanasiasa ni watu wajue yeye anataka kuwapeleka wapi, na si jinsi anavyojua kuwatukana viongozi waliopo.

Katika mambo yaliyonisikitisha juu ya Lissu ni pale alianza hata kumtukana Mwalimu Nyerere.
Hapo nikajua mdomo utakiponza kichwa.
Kwani Nyerere mungu???
 
Siungi mkono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.

Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.

Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.

Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?

Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
Roadmap au kodimapu twende kwenye uchaguzi wananchi waamue
 
I said it.
Tundu Lissu bado hajaeleza the broader Road Map kutupeleka nchi ya maziwa na asali.
 
Siungi mkono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.

Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.

Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.

Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?

Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
Utamwelewa Lissu na magu polepole tu nani ni nani.
 
Chadema manifesto is all you need.
 
Hii hapa roadmap ya Jiwe , pamoja na kuwa kuwa na tumeccm , policcm , tissccm bado anaroadmap nyingine hii hapa chini .
IMG_20200930_083847.jpg
 
Back
Top Bottom