Tatizo la Tundu Lissu, hana Roadmap!

Tatizo la Tundu Lissu, hana Roadmap!

Lissu ni mtu genuine, ni kati ya wanasiasa ninaowakubali sana, tatizo lake( lilikuwa pointed out na Mr. Hardtalk) ni kutumia lugha karaishi( inflammatory language) wakati anajenga hoja zake.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina uhakika Pyepyepye, hujui maana ya neno "roadmap" Na lilivyotumiwa na mleta hiyo mada! Ungeanza na kuuliza nini maana yake kabla hujaandika 'Tupatie roadmap yako'!
Tuambie maana yake ni nini hiyo roadmap
 
Lissu ni mtu genuine, ni kati ya wanasiasa ninaowakubali sana, tatizo lake( lilikuwa pointed out na Mr. Hardtalk) ni kutumia lugha karaishi( inflammatory language) wakati anajenga hoja zake.


Sent using Jamii Forums mobile app
Licha ya kutojua kule anakotaka kwenda, hiyo lugha ndo imemfikisha hapo alipo sasa.
Akifikiri ni pazuri ngoja arudi bongo.
 
Ya JPM tosha kwa sasa!
Huyu jamaa uliyemtaja ni muongo sana, alisema ikifika disemba mwaka jana ataita virukuu na canter apakie mazaga kuhamia dom, ila mjini palivyo patamu anaona ni ngumu kuhama, kawatanguliza wenzie yeye bado anakula upepo wa beach, na asipoangalia mpaka uchaguzi unakuja atakua palepale..
 
Licha ya kutojua kule anakotaka kwenda, hiyo lugha ndo imemfikisha hapo alipo sasa.
Akifikiri ni pazuri ngoja arudi bongo.
mnaicheza bila kupenda[emoji126] [emoji350] [emoji83] [emoji216] [emoji196]
Screenshot_2019-01-26_190907.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Licha ya kutojua kule anakotaka kwenda, hiyo lugha ndo imemfikisha hapo alipo sasa.
Akifikiri ni pazuri ngoja arudi bongo.
This time mtamlipua na mabomu kabisa kama mlivyofanya imma advocates.. Ikishindikana mtapiga mabomu na vifaru + snipers wa kutosha.
 
Ni wazi kuwa hujafanya homework yako juu ya gharama za umeme so far.
Ungekuwa umepitia gharama hizo ungegundua kuwa gesi imetumia karibia 2.2 Trilion so far kwa ajili ya umeme 390MW.
Wakati 6.5 Trillion zitaleta 2100MW.
Hapo linganisha mwenyewe kipi bora.
Somo la hisabati lipewe kipaumbele mashuleni.
 
This time mtamlipua na mabomu kabisa kama mlivyofanya imma advocates.. Ikishindikana mtapiga mabomu na vifaru + snipers wa kutosha.
Kama nilivosema and I am on record, waliojaribu kumuua Lissu si watu waliostaarabika sana, and probably its a personal vendetta.
Ni tendo la kulaaniwa.

Ni mitandao kama hii ndo inamuonyesha Lissu as he is, a useless and loose loud mouth.
 
Mkuu ni

Mkuu nilikushauri, kama hujafanya homework yako facts will beat you.
Talk of project turn around?

Mradi wa gas ulianza 2013 kwa kujenga bomba la gesi toka Mtwara.
Hadi leo, 5years later hatujakamilisha kupata 390MW za Kinyerezi I&II.
Turn around ya Hydro kule Stiegler ni 3 years.
Amua mwenyewe.

Pili, ukitaka kumsikiliza mzungu ilinakuambie huwezinkitu sababu hii na ile, huo ninuamuzi wako binafsi.

Kwa mawazo kama yako, 3 Gorges Dam ya kutengeneza umeme mwingi sana, 22,500MW, usingetekelezwa.

No fact will beat him/her...

How sure are you kwamba in three years utazipatta hizo megawatts 2,100 kutoka mradi huo wa Stiglers Gorge??

Nakuuliza swali hili kwa sababu kuu mbili:

1. Style ya uanzishaji mradi huu ni ile ile iliyoanzisha mradi wa umeme wa gas ya Mtwara ili megawatts hizo usemazo 490 zipatikane, yet hazikupatikana leo wala kesho na wakati huo more than 2.2trn has gone na awamu ya 4 ya CCM ya Kikwete!!

3. Hii project ya Stiglers Gorge inatumia takribani 7trn Tshillings in three years. Sera na watu ni walewale.....CCM....

The only difference kule kwenye gas ya Mtwara, kubwa lao lilikuwa Kikwete (Mkwere)...

Yet the mission was unaccomplished.....

All 2.2 trn shillings went off vanished!!

Stiglers Gorge kubwa lao ni Pombe a.k.a Jiwe a.k.a Kichaa.....

7trn TShs (heavy loan, not cash) on the table...

What makes you believe this will happen??

Watu walewale, style ile ile, Sera zilezile na mipango ile ile.....

Tuamini tu kuwa tutapata matokeo tofauti?

Jidula Mabambasi, you are kidding yourself bro unless hii iwe ni siasa zilezile....!!

And you know what?

Yet, wanaoi - control dunia, wanaokopesha hizo fedha tayari wameshaanza kuuchokonoa mradi huo !

Usiwaamini wanasiasa populists. Think carefully. Be aware!!
 
No fact will beat him/her...

How sure are you kwamba in three years utazipata hizo megawatts 2,100 kutoka mradi huo wa Stiglers Gorge??

Nakuuliza swali hili kwa sababu kuu mbili:

1. Style ya uanzishaji mradi huu ni ile ile iliyoanzisha mradi wa umeme wa gas ya Mtwara ili megawatts hizo usemazo 490 zipatikane, yet hazikupatikana leo wala kesho na wakati huo more than 2.2trn has gone na awamu ya 4 ya CCM ya Kikwete!!

3. Hii project ya Stiglers Gorge inatumia takribani 7trn Tshillings in three years. Sera na watu ni walewale.....CCM. The only difference kule kwenye gas ya Mtwara, kubwa lao lilikuwa Kikwete (Mkwere) yet mission was unaccomplished, 2.2 trn shillings gone!!

Stiglers Gorge kubwa lao ni Pombe a.k.a Jiwe a.k.a Kichaa. 7trn TShs on the table... What makes you believe this will happen??

Watu walewale, style ile ile, Sera zilezile na mipango ile ile. Tuamini tu?

Yet, wanaoi - control dunia tayari wameshaanza kuuchokonoa mradi huo. Personally, nina mashaka !
If you have a tainted mind, no facts will make sense to you.
 
Nyie badala ya kufufua uchumi mlioutia kidole mko busy na Lissu. Mlituahidi uchumi wa kati na kutujengea viwanda kama Canada mko busy na Lissu siku zinakwenda Lissu sio Rais ni mbunge na mwanasheria. Mkumbushe mkuu wa nchi ahadi alizotoa wakati wa kampeni mda umeyoyoma zimebaki daki 80 mpira uishe Mko busy na Lissu mkubushe Elfu 50 kila kikiji kaahidi mwenyewe kwa mdomo wake Mko bussy na Lissu, Mkuu aliahidi kuondoa kodi za kero kuanzia bandarini mpaka mtaani badala yake zimeongezeka maladufu mko busy na Lissu Elimu bure bilabila Mko bussy na Lissu kwanini msijadili ahadi hewa lukuki alizo tuahidi ambazo hata kwa mazingaombwe azitekelezeki mko bussy na Lissu endelea kua bussy na Lissu mnanikera sana . Kumtibu hamtaki mnaweweseka 2020 anakuja kuwafundisha siasa za kidigital jiandae
 
Umesahau kuwa yeye ni wakili kazi ya wakili ni kukosoa maisha yote na ndio kazi yenyewe wafanyayo mawakili
 
Back
Top Bottom