Tatizo la Tundu Lissu, hana Roadmap!

Tatizo la Tundu Lissu, hana Roadmap!

Siungi mkono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.

Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.

Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.

Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?

Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
Mkuu hiyo ni stratergy inayotumiwa na wengi. Hata JPM aliitumia kuaminisha wananchi kwa kusema kuwa " tumeibiwa sana" ktk awamu zilizopita. Kuwa kila mahali ni madudu. So, it make no difference to this guy Lissu.
 
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, blah blah...

hizi ndo hoja za ki-RUBBISH kuliko zote. hakuna hata Mtanzania mmoja aliomba hayo mavitu ni mtu wenu kayataka mwenyewe kwa kutaka kula tenpasenti ndomaana hata ununuzi na ukaguzi wake una utata.

waTanzania hatutaki chama chenu cha hovyo na huyo mgombea wenu - msipoona kwa vitendo, mtaona kwa hisia.
 
Sawa.
Sasa Lisu atafanya nini tofauti.
Na kama nilivyosema, he is just a reactionary, hana tofauti na hana jipya!

Tatizo kubwa la Lisu ni kwamba yeye na chama ckake hawana frame work ya kisiasa ya yale wanayotaka kuya fanya na kule anakotaka kuipeleka nchi.
Bila framework ha kisiasa hatujui malengo ya kisiasa na uchumi.
 
Siungi mkono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.

Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.

Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.

Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?

Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
 
Achana na TL wewe,kama unayo hiyo road map ulikuwa wapi kugombea urais?
 
Back
Top Bottom