Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

Kuna wakati serikali hutafuta hasara sijui kwa faida ya Nani.

Serikali isitujaribu ktk huduma hii mhimu.
 
Hivi hiyo ndio solution yakuwasimamisha kazi.
Huko nikukariri kuwasimamia watumishi.
 
JamiiForums2114352714.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku 3 mtandao unasumbua
Hawa wakichekewa wanaweza
Kutupeleka hadi mwezi mzima
Na tatizo hili la mtandao

Ova
 
Hapa bwana mbunge wa chato anajaribu tu kumdondoshea jumba bovu huyo mtu wa tehama, if it happened under his watch kwanza mhangaike kusort na kuli solve tatizo, kumsimamisha kazi ni sehemu ya uwajibikaji when the crisis is over. Gone are the days when ministers hold their responsibility kama mzee Mwinyi kipindi cha sukari iliyokwisha muda.
Umeme bado saa 9 hii mchana wa tarehe 19 may 2021 haununuliki na hela hazijarudishwa.
 
Waziri amemsimamisha kazi kwa siku kumi Meneja wa Tehama na Huduma za Biashara wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) Lonus Feruzi na wasaidizi wake Frank Mushi na Idda Njau.

Wamesimamishwa kazi kuanzia leo na Waziri wa nishati ndugu Kalemani, ambaye pia amemwagiza Mkurugenzi wa Shirika hilo Mwinuka kuhakikisha huduma hii inarudi haraka baada ya muda mfupi.

Ingekua bora aturudishie huduma baadae mengine kuwafukuza kazi yafuatilie
 
Back
Top Bottom