miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Dalili za uchizi kukosa usingizi kuwa makini
Aiseee mimi nikimeza tu nusu saa nishasinziaMie nalala na piriton every day yani usingiz sipati Sijui kwann
Ha ha ha ha ugonjwa wangu dawa yake maji tu nishakunywa...Am your doctor, njoo nikupe tiba. Bure bileshi...
Angalia calories zake kwanzaMmh mbona huku mtaani tunaaminishwa eti Pombe kali inamaliza vitambi na haina sukari mkuu?
Hello Jf.. Husikeni na kichwa cha habari hapo juu...
Nimekua nikisumbuliwa na hili tatizo mwaka mmoja sasa ila sasa hv ndio limezidi kabisa.
Mwanzo nilikua naona kawaida tu nikawa nalala saa sita usiku baadae nikawa nalala saa saba usiku lakini sasa hali imekuwa tata usingizi sipati mpaka saa kumi au kumi na moja asubuhi.
Mara nyingi huwa nakua humu jf hadi muda huo ambao hata mlinzi na wafanyakazi wote wa Jf wanakua wamelala. Naombeni ushauri wenu wakuu hali inakuwa mbaya na nimemiss usingizi wa saa nne au saa sita..
Ahsanteni!!!
Hello Jf.. Husikeni na kichwa cha habari hapo juu...
Nimekua nikisumbuliwa na hili tatizo mwaka mmoja sasa ila sasa hv ndio limezidi kabisa.!
Dawa nyingine zinahitaji kumwona Daktari.....Amitriptyline mojawapo.Pole mkuu, ni dhahiri unasumbuliwa na ugonjwa wa INSOMNIA.
What Causes Insomnia?
Soma zaidi kwenye hiyo link. Kama uko Dar nenda pale Fabek plaza Manzese kuna Pharmacy wakuandikei dawa inaitwa Amitriptyline. Uwe unameza kidonge kimoja kabla ya kulala. Angalau kwenye saa mbili usiku hivi.
Piga punyeto ndo suluhisho la matatizoHello Jf.. Husikeni na kichwa cha habari hapo juu...
Nimekua nikisumbuliwa na hili tatizo mwaka mmoja sasa ila sasa hv ndio limezidi kabisa.
Mwanzo nilikua naona kawaida tu nikawa nalala saa sita usiku baadae nikawa nalala saa saba usiku lakini sasa hali imekuwa tata usingizi sipati mpaka saa kumi au kumi na moja asubuhi.
Mara nyingi huwa nakua humu jf hadi muda huo ambao hata mlinzi na wafanyakazi wote wa Jf wanakua wamelala. Naombeni ushauri wenu wakuu hali inakuwa mbaya na nimemiss usingizi wa saa nne au saa sita..
Ahsanteni!!!
Piga punyeto tu utalala mwenyeweDuuuh mkuu ilo tatzo kama langu aisee.Mi ucngizi napata saa kumi na mbili asubh.na mda huo nmeingia kitandani sa sita usku.ni kujizungusha tyuu kitandani yani.
Najitahid lakini nikichola silali nawasha pc naendelea kucheki muvi..Mondray dear! Anza kusoma vitabu!!! Kama sio msomaji mwanzoni vitakuchosha tu na utalala...
Dk anakwend ku rubber stamp tu! Dawa zote zimeumbwa kwa ajili ya binadamu...Dawa nyingine zinahitaji kumwona Daktari.....Amitriptyline mojawapo.
Zitumike pale inapobidi basi.....sio tu kiholela holelaDk anakwend ku rubber stamp tu! Dawa zote zimeumbwa kwa ajili ya binadamu...
Walikupa vidonge mkuu au ushauri?
Kush vipi? Itakusaidia kinoma kwaajili ya usingizi aiseeMdada mm situmii pombe, sigara wala madem .