Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Mdada mm situmii pombe, sigara wala madem .
Hata mademu utumii?

Tatizo lako "Kitahalamu" tunaliita "Nyegelaizeshen" ni ile hali ya mwili kuitaji sana kuchuja na madhara yake ndio hayo yanayokutokea hapo kama kushindwa Kulala mapema,Jazba na upweke.

Tiba yake tafuta mwanamke uchuje.
 
Hata mademu utumii?

Tatizo lako "Kitahalamu" tunaliita "Nyegelaizeshen" ni ile hali ya mwili kuitaji sana kuchuja na madhara yake ndio hayo yanayokutokea hapo kama kushindwa Kulala mapema,Jazba na upweke.

Tiba yake tnamke uchuje.
Mkuu sio kua situmii hapana ila nilijipa likizo ya kutotumia hivi vitu na nina mirz sita sasa..
Ila nilipo ni ugenini naogopa maana sheria zao kali..
 
Hello Jf.. Husikeni na kichwa cha habari hapo juu...
Nimekua nikisumbuliwa na hili tatizo mwaka mmoja sasa ila sasa hv ndio limezidi kabisa.

Mwanzo nilikua naona kawaida tu nikawa nalala saa sita usiku baadae nikawa nalala saa saba usiku lakini sasa hali imekuwa tata usingizi sipati mpaka saa kumi au kumi na moja asubuhi.

Mara nyingi huwa nakua humu jf hadi muda huo ambao hata mlinzi na wafanyakazi wote wa Jf wanakua wamelala. Naombeni ushauri wenu wakuu hali inakuwa mbaya na nimemiss usingizi wa saa nne au saa sita..
Ahsanteni!!!

Kipindi cha mwaka mmoja ni sawa na kipindi cha utawala wa Magufuli, ni kawaida ndugu, huna shida yeyote. ni msimu tu wa hii serikali!
 
Pole Dogo ! Penda kula Chakula cha usiku mapema saa 12 au saa 1, epuka kuangalia tv, computer , simu na vingine vya kufanana na hivyo Masaa machache Kabla ya kwenda kulala! Umri wako ni mdogo mno kupatwa na shida Kama hiyo, fuatilia haraka upate ufumbuzi , Ila kutakuwa na tatizo flani !
 
Mkuu sio kua situmii hapana ila nilijipa likizo ya kutotumia hivi vitu na nina mirz sita sasa..
Ila nilipo ni ugenini naogopa maana sheria zao kali..
We jamaa nina uhakika Hudindi hata kidogo


Huko post yako ya nyuma ulisema umeacha kusex tangu October 2015 alafu apa unasema ujasex una miezi sita unadhirisha uongo wako

nina uakika tangu uzariwe ujawahi kusex kwa sababu kidudu chako akisimami.
 
Watu mnaotea otea tu hiyo kitu na tiba zenu ka waganga wa mjini. Ndugu una tatizo linaitwa INSOMNIA, tafuta tiba yake
 
mi nawaza hata sijui nifanye nini kuudhibiti usingizi walau hata nijisomee kidogo tu mana kusoma na utu uzima nayo kazi!,..,,. ninausingizi jamani hadi nahisi ni tatizo siku nayoshinda home yana ninaunganisha had saa sita kumbe kuna wengine hawapati usingizi kabisa mhh!! any way pole mwaya
 
Una Kipaji cha Ulinzi onana na K.K.Seccurity mkuu utawafaa
 
Kula bilinganya kwa wingi utapata usingizi. No Dawa nzuri sana .
 
Wewe unaona hilo ni tatizo wengine tunatamani tusilale zaidi ya masaa manne tu kwa kila masaa 24.

Tumia muda wako uliokosa usingizi kufanya mambo productive.

Kulala sana kunasaidia nini?
Usimshauri hivyo usingizi ni wa muhimu sana kiafya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom