Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Ndio hata madem sina kwan kuna shidaaah!!!

Wala haina shida mwaego wasitake kukutia majaribuni! Baki vivyo hivyo hadi utakapo oa rasmi, aseme Bwana! Yani jiamini ktk hilo nakutia moyo! Ila utaweza ku maintain hiyo Hali hadi wakati wa kuoa Kama tu utakuwa Mcha Mungu na kuwa Mtu wa ibada la sivyo baada ya muda si mrefu utaanza kuangukuka, utaendenda Kama wengi wafanyavyo maana imeandikwa " njia iendayo upotevuni ni pana, nao waingiao ni wengi" bali njia iendayo uzimani ni nyembamba nao watakao ingia ni wachache" take care"
 
Wala haina shida mwaego wasitake kukutia majaribuni! Baki vivyo hivyo hadi utakapo oa rasmi, aseme Bwana! Yani jiamini ktk hilo nakutia moyo! Ila utaweza ku maintain hiyo Hali hadi wakati wa kuoa Kama tu utakuwa Mcha Mungu na kuwa Mtu wa ibada la sivyo baada ya muda si mrefu utaanza kuangukuka, utaendenda Kama wengi wafanyavyo maana imeandikwa " njia iendayo upotevuni ni pana, nao waingiao ni wengi" bali njia iendayo uzimani ni nyembamba nao watakao ingia ni wachache" take care"
Ahsante bibie..
Siwez kubadili maamuzi yangu na hivyo ndio nimepanga.
Ninakutana na changamoto nyingi sana juu ya hili suala kupitia kwa watu wanao nizunguka, wananiita hanithi sisimamishi, sina nguvu za kiume, sijui kutongoza, naogopa mabinti hadi wananiita SHOGA ila siwez badirika maana hayana faida ni ujimga na upumbavu..
 
Pole sana rafiki kwa TATIZO hilo la kukosa usingizi. Binafsi pia liliwahi nipata baada ya kufiwa na mama yangu mpendwa, ila nilipona na sasa sina TATIZO hilo tena.

TIBA YAKE.
Chukua mabilinganya (Solanam melongena) yakatekate bila kuyamenya vipande kama chips kiasi cha wewe kushiba. Kaanga kama chips zinavyo andaliwa kwa kutumia MAYAI YA KUKU WA KIENYEJI. Kisha kula. Fanya Hivyo kwa siku 4 asubuhi na jioni.
NAKWAMBIA UTKUWA UNA LALA HADI UNAJICHUKIA.

Sent from my GT-I9300I using JamiiForums mobile app
 
Habari za mida hii?
Ni mwaka wa nne sasa nasumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi kwa kweli waweza sema labda nina mawazo lakn hapana mwanadamu ni lazima kuna wakati atakuwa na mawazo kuna wakati atakuwa na furaha n.k lakini mimi tatizo langu ni kwamba kila siku kulala kwangu ni saa saba usiku nikiwahi saa sita kamili na pia kulala ni lazima nifungulie mziki wa taratiibu au za dini ndipo napata usingizi lakn bila kufanya hivyo (kufungulia mziki) naweza kukaa tena hata nusu saa bila kupata usingizi KIMBEMBE tena linakuja endapo nikistuka usiku ndio basi tena sipati usingizi mpaka saa kumi na mbili asbhi ndio nasikia kwa mbaali ka usingizi lkn majukumu nayo ndo yanaanza. Yaani kwangu mimi ni kulala saa sita na nusu-saa saba usiku na kustuka saa kumi alfajiri au saa kumi na moja alfajiri. Nahisi hili ni tatizo maana kiafya tunashauriwa kama sikosei ni kulala masaa zaidi ya 6.
Nawasilisha.
 
Bora hata wewe unalalakuna wenzio wao usingizi wanausoma tu kama hivi au kuona wengin wamelala wao wanakesha macho had asubuhi sema una tatizo la kuchelewa kupata usingizi
 
Kwangu naona kawaida, kulala ni saa 8 au 7 na kuamka ni saa 12 kasoro robo. Na usingizi nautafuta kwa kuangalia series au movie.
 
mkuu mbona hiyo ni ratiba ya kawaida kwani unataka ulale masaa mangapi????
Lakini mkuu kama huna kazi ya kufanya usiku kwann usilale mapema? Maana kiafya unashauriwa kulala masaa zaidi ya sita kama sikosei? Afu kingine nikistuka usiku ndo naona mawazo yananitawala maana naanza kuwaza na kupanga mikakati ya kujenga ghorofa wakati nina akiba ya sh elfu 10 kweny akaunt
 
Kunywa maziwa ya moto baada ya chakula cha jioni unaweza kuwekeza milo au hotchocalate. Maziwa ya melatonin inayosaudia usingizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom