Tibu Tatizo la kukosa usingizi usiku

Tibu Tatizo la kukosa usingizi usiku

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,800
Reaction score
2,713
WhatsApp Image 2026-09-19 at 21.56.20.jpeg


Kukosa usingizi kuna uhusiano na kushuka kwa madini ya magnesium hasa baada ya stress kadhaa. Maganda ya ndizi mbivu yana magnesium ya kutosha kurudisha kiwango cha magnesium mahala pake.


Chukua maganda ya ndizi mbivu 4
Ongeza maji nusu Lita kisha tenga jikoni ukiwa umefunika

Chemsha hadi chai yako itokote

Ikishaiva
Ipua
Subiri iwe vuguvugu kisha kunywa

Aisee
Utalala usingizi mnono kama wa mtoto mdogo
 
Back
Top Bottom