Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Maziwa fresh ya hormones za melatonin ambazo husaidia kuleta usingizi. Kunywa glass ya maziwa fresh kabla hujalala
Hiyo kweli ukinywa maziwa fresh huleta usingizi usingizi hapo anaunganisha
 
Ongeza nyama kidogo..

Una psychological stress mkuu,ambayo ni very chronic,.. Utakua umepitia tramautic events,au una stress ya muda mrefu..sasa ii ni post-tramautic stress,..ambayo inazalisha depression,... Usitumie alcohol au benzine nenda kwa daktari akupe ushauri na msaada wa matibabu
 
Kuna kipindi nakosa usingizi bila piliton silali

Tatizo nikiximeza usiku asubuhi nashindwa kuamka. Mara nyingi nakua na stress nikikosa usingizi.

Solution ni kuingia jf
 
Mie nalala na piriton every day yani usingiz sipati Sijui kwann
 
Hello Jf..
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu...
Nimekua nikisumbuliwa na hili tatizo mwaka mmoja sasa ila sasa hv ndio limezidi kabisa.

Mwanzo nilikua naona kawauda tu nikawa nalala saa sita usiku baadae nikawa nalala saa saba usiku lakini sasa hali imekua tata usingizi sipati mpaka saa kumi au kumi na moja asubuhi. Mara nyingi hua nakua humu jf hadi muda huo ambao hata mlinzi na wafanyakazi wote wa jf wanakua wamelala.
Naombeni ushauri wenu wakuu hali inakua mbaya na nimemiss usingizi wa saa nne au saa sita..
Ahsanteni!!!
[HASHTAG]#Mondray2017[/HASHTAG]...
Kama umezoea kumeza dawa kama piritoni na baadhi ya antibiotic zingine zinawezakukusababishia tatizo hilo, punguza mawazo fanya mazoezi sana ili uchoke ukienda kulala utapitiwa na usingizi ghafla.
 
Hua simez vidonge na ninaviogopa ..
Hua sina tabia ya kuugua
 
Kama unamazo sana punguza
Afuu jaribu kutumia asali uwe unalamba kila ck naamini utakuwa unaupata huo usingizi
 
Hello Jf..
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu...
Nimekua nikisumbuliwa na hili tatizo mwaka mmoja sasa ila sasa hv ndio limezidi kabisa.

Mwanzo nilikua naona kawauda tu nikawa nalala saa sita usiku baadae nikawa nalala saa saba usiku lakini sasa hali imekua tata usingizi sipati mpaka saa kumi au kumi na moja asubuhi. Mara nyingi hua nakua humu jf hadi muda huo ambao hata mlinzi na wafanyakazi wote wa jf wanakua wamelala.
Naombeni ushauri wenu wakuu hali inakua mbaya na nimemiss usingizi wa saa nne au saa sita..
Ahsanteni!!!
[HASHTAG]#Mondray2017[/HASHTAG]...

Kwa hyo haulali sa hvi?kama unafika asubuhi unaunganisha tena mpaka asubuhi....kunywa madawa ya usingizi labda yatasaidia
 
YAAN NIKILALA MAPEMA SANA NI SAA 9 NA BADO NUSU SAA YA KUSAKA USINGIZI..
Kwa hyo haulali sa hvi?kama unafika asubuhi unaunganisha tena mpaka asubuhi....kunywa madawa ya usingizi labda yatasaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom