Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Duuu Jf ni moja ya starehe zangu hapa duniani baada ya muvies na music ila nitajaribu kufuata ushauri wako.
Ndiondio sina maana uiache 1 kwa 1 hapana, jaribu tu kubalance upate atleast muda wa kulala kwa masaa 6-8
 
Matatumizi ya mitandao kupita kiasi yanasabisha magonjwa ya stress....ambayo ikikua ndio huharibu utaratibu mzima wa usingizi..ambao ukikua...husababisha uchizi au kifo.
 
Mpaka hapa jibu nimelipa kwamba wewe huna mke hivyo tatizo lako limeanzia mbali sana usilalie mto halafu kama kinachokufanya ulale mwenyewe ni umri wa kuoa bado basi punguza mawazo yakuwaza vitu ambavyo huna uwezo navyo lakini kama umefanya kugombana na mwenza wako jaribu kumuomba msamaha mrudiane ila kama yote sio kweli nenda hosptali
 
Usiwaze kunywa pombe ili ikupe usingizi
Comrade.....
Ebu pitia tena threads za huyu mleta mada. Kisha ndipo ukuje umshauri.
Ukimshauri akunywe pombe, nisawa na kumtupia shimoni ilhali anamsongo wa mawazo ulio tukuka.
 
Mpaka hapa jibu nimelipa kwamba wewe huna mke hivyo tatizo lako limeanzia mbali sana usilalie mto halafu kama kinachokufanya ulale mwenyewe ni umri wa kuoa bado basi punguza mawazo yakuwaza vitu ambavyo huna uwezo navyo lakini kama umefanya kugombana na mwenza wako jaribu kumuomba msamaha mrudiane ila kama yote sio kweli nenda hosptali
Sina mpenz na sijafikiria kua nae kwa sasa..
 
Matatumizi ya mitandao kupita kiasi yanasabisha magonjwa ya stress....ambayo ikikua ndio huharibu utaratibu mzima wa usingizi..ambao ukikua...husababisha uchizi au kifo.
Endelea kunwaga data mkuu..
Ila hapo kuna ukweli haswaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom