[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe Tatizo linaanzia hapa.. hupaswi kutumia nguvu nyingi kutuaminisha wewe ni mwanaume wa shoka..
Mi kaGrants ndo kadawa kangu ka usingizi.Usiwaze kunywa pombe ili ikupe usingizi
Siyo formulae nzuri utakuwa unalala kwa uchovu wa pombe usingizi unalala naturallyMi kaGrants ndo kadawa kangu ka usingizi.
Kukosa kupata usingizi hakujawahi kumwacha mtu salama.
Hebu dada fikiria mpaka saa hz sina usingizi na sijui nalala saa ngapi..Siyo formulae nzuri utakuwa unalala kwa uchovu wa pombe usingizi unalala naturally
Asa kama usingizi unakomaa kuja mi nifanyeje??Siyo formulae nzuri utakuwa unalala kwa uchovu wa pombe usingizi unalala naturally
Afu ukawa unanishauri mimi nikalale...Hebu dada fikiria mpaka saa hz sina usingizi na sijui nalala saa ngapi..
Wacha tu sijui hata hizo kazi za watu nazifanyaje ngoja tu kesho/leo nikafanye ma viwonder..Afu ukawa unanishauri mimi nikalale...
Huu usingizi mi namwachia Mungu aushughulikie...
Na muda wa kuelekea kwa mkoloni ndio huoo unakaribia.Wacha tu sijui hata hizo kazi za watu nazifanyaje ngoja tu kesho/leo nikafanye ma viwonder..
Hatari nyingine ni kuwa alcohol dependant kwa jina lingine alcoholic.Afu ukawa unanishauri mimi nikalale...
Huu usingizi mi namwachia Mungu aushughulikie...
Hilo mbona tayari?? Mi nikipata stress tu, breki ya kwanza bar...Hatari nyingine ni kuwa alcohol dependant kwa jina lingine alcoholic.
Jaribu kunywa ukiwa na furaha tu ukiwa na stress tafuta activity nyingine kama jogging, swimming au kusikiliza mzikiHilo mbona tayari?? Mi nikipata stress tu, breki ya kwanza bar...
hahahah... mimi huyuhuyu???Jaribu kunywa ukiwa na furaha tu ukiwa na stress tafuta activity nyingine kama jogging, swimming au kusikiliza mziki
That is the best way to enjoy alcoholhahahah... mimi huyuhuyu???
Mawili... niache kabisa au niendelee kugida...That is the best way to enjoy alcohol
Anza beer na chakula yaani beer moja tu unashushia ugali maharage baadae ukiwa na furaha ni rahisi kunywa mbili tu na kuacha. Ukiwa na stress pombe inakucontrol unaweza kunywa beer 10Mawili... niache kabisa au niendelee kugida...
Hili la kunywa kwa kujipangia nimeshalishindwa bhana...
Beer nlishaachaga siku mingi. Nani anapenda vitambi?? Mi nagongaga haya mapombe makali haya... LOLAnza beer na chakula yaani beer moja tu unashushia ugali maharage baadae ukiwa na furaha ni rahisi kunywa mbili tu na kuacha. Ukiwa na stress pombe inakucontrol unaweza kunywa beer 10
Unafahamu sukari inayotumika kutengenezea hizo pombe kali ni kiasi gani, ziko high in calories kuepuka kitambi ni kunywa in moderation na kufanya mazoeziBeer nlishaachaga siku mingi. Nani anapenda vitambi?? Mi nagongaga haya mapombe makali haya... LOL