Hello Jf..
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu...
Nimekua nikisumbuliwa na hili tatizo mwaka mmoja sasa ila sasa hv ndio limezidi kabisa.
Mwanzo nilikua naona kawauda tu nikawa nalala saa sita usiku baadae nikawa nalala saa saba usiku lakini sasa hali imekua tata usingizi sipati mpaka saa kumi au kumi na moja asubuhi. Mara nyingi hua nakua humu jf hadi muda huo ambao hata mlinzi na wafanyakazi wote wa jf wanakua wamelala.
Naombeni ushauri wenu wakuu hali inakua mbaya na nimemiss usingizi wa saa nne au saa sita..
Ahsanteni!!!
[HASHTAG]#Mondray2017[/HASHTAG]...
===UPDATES====
Saa hizi ni saa 11.00 alfajili lakini bado sijapata usingizi wowote wakuu..
Nahisi tatizo ni kutokua na mtu wa kuniliwaza pembeni nikawahi kulala..