Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

huelewi nini chukua ndizi zilizoiva katakata weka maji mengi kiasi zichemke kama dakika kumi hivi then kunywa hayo maji ulale
sawaaa...nimekupataa...nlikua namjibu huyo mazigazi ameniambia ninywe taska eti...ndo nkamjibu mimi silewi pombe
 
eeenheee....hapo sawa mkuu...da ila sasa ndo kila siku au nikinywa mara moja ndo basi tatizo limeisha
kwani unaweza kupona hospitali kwa kunywa kidonge sıku moja? kwani maziwa na asali ukinywa kila siku utadhurika?kama utadhurika kunywa kila siku maziwa moto na asali bora uache dawa kole vidonge vya usingizi uwe mteja wa vidonge.Unaonaje ushauri wangu?
 
sawa mkuu....ila nlidhani ni kama dozi yan hata nikinywa kwa wiki hivi afu nipone kabisa kuliko kila siku maisha yangu iwe hadi ninywe asali ndo nilale kwakweli nayo ni mateso pia....ila nashkuru kwa msaada mkuu
 
Inawezekana una msongo wa mawazo, tafakari tatizo linalokusumbua.
nawaza kawaida tuu.....sidhani km nimewapita hadi wanaopata usingizi...hamna kitu kinachonipa shida saaanaa yan hadi nikose raha na usingizi niukose sina nawaza kawaida tuu.
 
Una uzito wa kiasi gani, family yako ina historia ya tatizo kama hilo?, inawezekana una tatizo la sleep apnea, sleep apnea inaweza kusababishwa na tonsilis, overweight, allergy au genetic issues. Treatment inahusu kubadilisha life style, pamoja na kufanya mazoezi, kuacha kunywa pombe, na kula vizuri.
Kuacha kunywa pombe [emoji15] wakati pombe ndio dawa ya usingizi
 
sawa mkuu....ila nlidhani ni kama dozi yan hata nikinywa kwa wiki hivi afu nipone kabisa kuliko kila siku maisha yangu iwe hadi ninywe asali ndo nilale kwakweli nayo ni mateso pia....ila nashkuru kwa msaada mkuu
Nenda hospitali ukapime kwanini unakosa usingizi? tumia hiyo dawa niliyo kupa kwa muda wa siku 21 halafu uangalie je bado haupati usingizi? ikiwa bado haupati usingizi nitafute kwa What's App namba yangu hii hapa +905344508169 ili nipate kuzngumza na wewe na kukuliza maswali yangu an kukupatia ufumbuzi wa tatizo lako.
 
sawaa
 
pole sana. wewe utakuwa unaumwa ugonjwa unaoita insomnia (sleeplessness) ambao unatoka na mambo yafuatayo:
1. unawaza muda mrefu (stress)
2. una mafua yasioisha
3. unalala sehemu yenye joto kali, kelele, au mwanga mkali
4. shinikizo la damu
5. pumu
6. unatumia dawa za kutolewa au kutapika uwapo safarini
7. unabadilisha ratiba ya kulala
8. kunywa vinywaji vyenye caffeine kama vile chai, kahawa na energy drinks chini ya saa moja kabla ya kulala
9. unakula sana na karibu na muda wa kulala
10. woga

Tiba
insmnia inaweza kutibiwa kwa:
1. kwenda kinyume na mambo yanayosababisha
2. fanya mazoezi
3. kunywa maji mengi
4. kata kitunguu maji na unuse wakati wa kulala. utalala hadi utaogopa. not bad for your help. it is a natural sleeping herb.
 
Ndizi mbivu pia ni dawa, cha kufanya kabla ya kwenda kulala chemsha ndizi mbivu moja halafu kunywa juice yake. jaribu utaniambia.
 
Kuacha kunywa pombe [emoji15] wakati pombe ndio dawa ya usingizi
Ukinywa pombe ni mishipa ya fahamu inarelax kwa kilevi lakini usingizi na uchovu vinabakia, kunywa bia moja au mbili si mbaya lakini kutandia tano-sita ni kujichosha.
 
Huwezi pata usingizi ukiwa na msongo wa mawazo mkuu.
 
Hello Jf.. Husikeni na kichwa cha habari hapo juu...
Nimekua nikisumbuliwa na hili tatizo mwaka mmoja sasa ila sasa hv ndio limezidi kabisa.

Mwanzo nilikua naona kawaida tu nikawa nalala saa sita usiku baadae nikawa nalala saa saba usiku lakini sasa hali imekuwa tata usingizi sipati mpaka saa kumi au kumi na moja asubuhi.

Mara nyingi huwa nakua humu jf hadi muda huo ambao hata mlinzi na wafanyakazi wote wa Jf wanakua wamelala. Naombeni ushauri wenu wakuu hali inakuwa mbaya na nimemiss usingizi wa saa nne au saa sita..
Ahsanteni!!!

======UPDATES======
Sasa hv naendelea vzr usingizi napata saa saba saa nane tofauti na kipindi cha nyuma.
Shukrani za pekee ziene kwa bimdada Sky Eclat kwa ushauri wa kutumia maziwa kila siku na ndio dozi nilio jipa.
Ahsanteni nyote kwa ushauri.

-Mond-
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom