Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Discussion in 'JF Doctor' started by Pape, Nov 16, 2009.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wana JF, kuna ndugu yangu yaani yeye asipokunywa chai kabla hajalala basi atakesha akihesabu 'kenchi' na kuna siku alikosa chai akanywa kahawa na matokeo yake 'alikesha', je, hali hiyo ya kutopata usingizi bila kunywa chai ni ugonjwa?

  Kuna namna ya kuepukana nayo?
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Huyo nadhani ameathirika kisaikolojia kwa kujiwekea imani kuwa chai ndo njia pekee ya kumpatia usingizi. Cha muhimu mshauri ajilazimishe kutokunywa chai kabla ya kulala, ingawa mwanzoni atapata tabu kupata usingizi, lakini akili itajizoesha na hatimaye ataweza kulala bila ya chai. Huo ni mtazamo wangu.
   
 3. malisak

  malisak JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2010
  Joined: Mar 16, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  Wajameni nasikia mtu unaweza kumpenda mtu kiasi cha kukosa usingizi hivi inawezekana vipi?,kwani siku hizi naona hakuna kupendana zaidi ya kutamaniana hebu pls nijuzeni
   
 4. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hulali unafanya nini sasa wakati una mtu unayempenda na anayekupenda? duh!
   
 5. malisak

  malisak JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2010
  Joined: Mar 16, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  Sipati picha kwani kuna mtu amenishtakia kusema kua hana raha kwa kukosa usigizi kwa kumfikiria mtu anaempenda kuliko sasa sielewi kabisa.
   
 6. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2010
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  yale yale usiku silali nakuota wewe
   
 7. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ni mwanzo wa ulemavu... kila kitu kina uwiano..!!!
   
 8. malisak

  malisak JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2010
  Joined: Mar 16, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  Ndio maana nikauliza kwani usingizi wako anao mwengine au unakuaje?,tena basi shuti kakonda
   
 9. k

  kisukari JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  nami nilikuwa nikisikia hivyo nikawa siamini. Mpaka na mimi nilipokuja kupenda,nilipenda kwa kweli usingizi ulikuwa wa tabu,na imagine nae kila sehemu. na nikilala huwa namuota yeye karibu kila siku,na nikishtuka usiku ooh,akili inarudi kwake.nikiongea nae kwenye simu,sitaki simu aikate.kama sijawasiliana nae siku moja tu,basi nakuwa kama sichanganyi vizuri. usiombe ukapenda,bora upende juu juu tu kwani sometimes ni kama mateso fulani hivi.
   
 10. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Yaani Kisukari umenikumbusha mbali sana. Tulipokuwa shule FV na VI alikuwepo kijana mmoja akimpenda sana msichana ambaye ni rafiki yetu (sote tulikuwa darasa moja). Sasa ilikuwa balaa, yule binti akiongea tu na mvulana mwengine yule kijana huanguka na kuzimia! Binti wa watu alikosa amani kabisa na unajua tena vijana walivyo wachokozi. Wavulana wengine wakimwona karibu yule mwenzao anaependa basi hujifanya kama wanaongea na yule binti kwa makusudi. Masikini kijana wa watu puuuu!

  Tulivyomaliza FVI alijaribu kwenda nyumbani kwao kupeleka posa lakini hiyo tena ilikuwa issue nyengine........

  Siku moja tulionana baada ya miaka kidogo. Katika maongezi tukaongea kuhusu kipindi kile. Aliniambia hakumbuki alifikwa na mikasa gani hata ikawa anampenda yule binti kiasi kile, alikuwa hali vizuri, akilala hapati usingizi anamuwaza na kila analofanya picha ya yule binti ilikuwa kwenye brain yake. Ndio maana alikuwa anabehave namna ile. Ila baadae viliondoka wenyewe tu.

  Kuna wimbo unasema hivi:
  Usinione nakonda ukadhani kwetu sili
  Nala mchele kibaba na nyama kilo mbili
  Ninakukondea wewe punda usie fadhili
   
 11. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nikinywa maji nakuona kwenye glass
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mawazo yanaweza kukufanya ukose usingizi..
  imagine unampenda mmeo /mkeo boyfriend /G/friend lakini kila kukicha anaboronga inakuwa kero
  Ukipanda kitandani unatawaliwa na mawazo tele juu ya nini ufanye unajikuta tayari jogoo anawika
  Unampenda mtu hakupendi ..mawazo mawazo...
  umekataliwa na umpendae mawazo mawazo
  Kuna wengine wanabugiaUlabu mradi umsaidie kidogo
   
 13. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Mpenzi,
  Salaam, ama baada ya salamu mimi ni mzima.
  Dhumuni (Disco) la barua hii ni kutaka kukujulisha kuwa nimezama kwwenye lindi la mapenzi.
  Nikinywa maji nakuona kwenye glasi, usingizi sipati, nakuota wewe malaika wangu.
  Naomba unitunukie tunu ya mahaba na penzi lako maridhawa.
  Wako mtiifu, mnyenyekevu, mvumilivu na mwaminifu penzi.
  Cool Sumba.
  Hizo zilikuwa enzi zetu zilee tukibonga vishtobe.
  Akikukubali ugumu unakuja kwa kumpeleka kutoa jalamba.
   
 14. malisak

  malisak JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 16, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80

  hebu fafanua kisukari hua hulali kabisa au usingizi unakupitia bila kujijua?.
   
 15. malisak

  malisak JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 16, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  kwakweli inasikitisha kwa kila yaliyemkuta sasa mtu umeshajua hakupendi unamng'ang'ania wa nini?.
   
 16. malisak

  malisak JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2010
  Joined: Mar 16, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  yale yale
  nakupenda kama kiazi,nikuonapo una kazi
  slp naogopa wazazi
   
 17. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Habari madoctor,
  mimi ni mama zaid ya miaka 32 na chini ya 36, naomba kufahamu juu ya hili.
  Wakati wa kulala nisipopaka mafuta miguuni mpaka unyayoni na kwenye lips za midomo sipati usingizi kabisa, hata kama nimechoka sana usingizi hauji kabisa ntakaa macho nilipolala mpaka kunakucha, lakin nikipaka mafuta hasa haya mazito ,mfano vaseline,bodyline au vestiline na mengineyo mazito, miguuni mpaka unyayoni ,kwenye lips za midomo halafu ndiyo nalala. Nalala usingizi mzuri saaaana (kama alalavyo mtoto mchanga, kwa wale wenye watoto wachanga watanilewa kuwa ni usingizi wa aina gani),hata nikiamka asubuhi naamka nikiwa na siha njema kabisa.sipaki mafuta mengi napaka kawaida tu.hivyo ni lazima kilasiku nipake mafuta usiku sehemu hizo ili niweze kupata usingizi mzuri na tulivu.mimi nimeligundua hili tangu nilipoanza kujitambua japo wazazi wangu wanasema hili ni tatizo tangu nilipozaliwa.

  Halinikeri sana,lakin ninapenda kufahamu kwanini inakuwa hivi, kwa sababu kuna watu wengine mfano wanangu,rafiki zangu,ndugu zangu wao wakioga na kulala pasipo kupaka mafuta wanapata usingizi bila wasiwasi.
  Kuna uhusiano gani kati ya mafuta na usingizi kwa baadhi ya watu kama sisi??? .

  Nategemea kupata majibu toka kwenu, asanteni.
   
 18. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  dah! hii kama haujasoma nzumbe huwez kujibu. acha nisepe
   
 19. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mmm!! Klorokwin, ina maana wanafunzi wa mzumbe tu ndy wenye majibu ya hilo swali??
   
 20. W

  Willygs21 New Member

  #20
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah sijui hata nikujibu nini ila try to contact na Washkaji wa Mzumbe i am sure watakukumbusha solution.Be happy teh teh teh
   
Loading...