Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

pole ,fanya mazoezi na kunywa maji mengi,epukana na vinwaji venye caffeine kwa wingi kama kahawa ,socialise na marafiki usiwe mpweke
 
Mkuu nakushauri fanya mazoezi ili kuchosha mwili wako pia kula kiasi chakula cha jioni lala mapema na kama hujaoa na age yako imefika oa pia naona inawezekana mpweke!
 
Hili ni janga. Muone daktari kwa ushauri zaidi
 
Fanya hivi...

1. Jaribu kusamehe wote waliokukosea kwa sababu huenda ukawa na dukuduku moyoni linalokuletea mawazo yanayokunyima usingizi.

2. Usiruhusu mawazo hasi ya mtu mwingine yaingie moyoni mwako. I mean km kuna mtu anakusakama kwa maneno ambayo hayana ukweli, basi jua hayo ni mawazo yake tu ambayo ni hasi. So yakatae yasiingie ndani yako ili uwe na furaha na amani.

3. Usiruhusu moyo wako uumizwe na maneno au na vitendo vya mtu yyt! Iwe ni mahusiano au vinevyo usiruhusu viutoboe toboe moyo wako ili uwe na amani.

4. Fanya mazoezi sana mida ya jioni coz inaonyesha wazi kuwa hufanyi mazoez na huwa hufanyi kazi ngumu au kuchosha akili...

5. Punguza kuwaza mawazo hasi. Usijaze kichwani mwako vitu kibao vya kusadikika ambavyo hata hauvihitaji. Jifunze kuweka kichwan vitu vile unavyovihitaji..
Ahsante sana mkuu..
Nitafanya.
 
pole ,fanya mazoezi na kunywa maji mengi,epukana na vinwaji venye caffeine kwa wingi kama kahawa ,socialise na marafiki usiwe mpweke
Ahsante..
Mm situmii Soda,kahawa,bia sigara na kilevi chochote natumia Juices na maziwa tu..
 
Kula mboga ya mabilinganya kwa wingi jiepushe na mazingira yanakupa stress fanya mazoezi ya kutosha lala saa nne usk zaidi ya apo ujue utakesha sikiliza miziki laiiini(soft songs meditation songs sleepy songs ) changanyikana na watu usikae mwenyewe.
 
Mhmm mm ndo naomba ata nikose usingizi mchana lakin,sio usk.Make sometimz niko job naisi usingize hatari after lunch.
Nalala sana asee too bad a man like me sleepi' this way.
 
Mkuu inawezekana swala la kugegedana hulipi kipaumbele ongeza jitihada haswa hapo
 
Kikubwa Fanya mazoezi kwa wingi .Hapa lazima upate usingizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom