Tanzia: Mtoto wa Mtoboasiri afariki dunia

Ama kwa hakika kila nafsi itaonja umauti..kifo hichi cha mpendwa wetu kitukumbushe uwepo wa umauti na pia tujiandae na kifo kwani sote njia yetu ni moja.......yeye ametangulia na sisi tupo nuyma yake ijapokuwa hatujui siku wala saa..........REST IN PEACE..........
 
Pole sana Mtoboasiri - Pumzika kwa Amani Samson...

Mwenyezi Mungu awajalie Nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
poleni sana mtoto ANAUMA

Ahhh acha kabisa. I can't even imagine mama na baba yake wanavyojisikia right now. Inauma sana kuona watoto wadogo still innocent, hawajayajua maisha hata dhambi hawajazijua vizuri wanafariki. Sema ndio hivyo hatuwezi kugombana na maamuzi ya Mungu. Only he knows better.

RIP kadogo kangu...amani itawale nafsi yako huko ulipo.
 
Pole sana mkuu. Mungu akutie nguvu na akujaalie subra kwenye wakati huu mgumu wa mtt wako mpendwa.

Hakika ni safari isiyo na shaka, na ipo karibu sana kwa kila mmoja wetu
 
Pole sana Mtoboasiri ...Mungu akusimamie katika kipindi hiki kigumu. Mtoto alale pema peponi.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndugu yetu kwa kuondokewa na mtoto......marehemu apumzike kwa Amani,Amina.
 
Ahhh acha kabisa. I can't even imagine mama na baba yake wanavyojisikia right now. Inauma sana kuona watoto wadogo still innocent, hawajayajua maisha hata dhambi hawajazijua vizuri wanafariki. Sema ndio hivyo hatuwezi kugombana na maamuzi ya Mungu. Only he knows better.

RIP kadogo kangu...amani itawale nafsi yako huko ulipo.

ameen
nikiwaangalia wanangu nauomba MUNGU anilindie
 
Pole sana Mkuu Mtoboasiri.. Mungu akupe wewe na familia yako nguvu na faraja moyoni katika kipindi hiki kigumu.. Ulimpenda mtoto wako lakini Mungu muumba wa mbingu na nchi amempenda zaidi..

Naomba usome Zaburi 34:..
 
Last edited by a moderator:
Poleni Sana Mtoboa Siri, Mungu awape faraja katika wakati huu mgumu.
 
Back
Top Bottom