Tanzia: Mtoto wa Mtoboasiri afariki dunia

Pole sana kamanda Mtoboasiri. Mungu akupe ujasiri wa kuyabeba haya machungu.
 
Pole sana Mtoboasiri ...... tushukuru hata kila dakika ambayo Mungu alitupa na Malaika huyo..... Bwana alitoa na Bwana ametwaa......
 
Last edited by a moderator:
Pole Sana Mtoboasiri.....

Mungu akupe uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom