Tanzia: General Alfred Mbowe afariki Dunia, Msiba upo Salasala Dar Es Salaam

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kaka yake Mheshimiwa Freeman Mbowe Afariki huko Sala Sala (R.I.P General Mbowe)

=====

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Mhe.Freeman Mbowe amefiwa na Kaka yake General Mbowe leo mchana. Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Salasala. Bwana ametoa na Bwana ametwaa,Jina lake lihimidiwe.
 
General kilikuwa c cheo cha jeshi au jina Mkuu?

Poleni wafiwa,Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki cha kumpoteza mpendwa wenu
 
Back
Top Bottom