Tanzia: Mtoto wa Mtoboasiri afariki dunia

Tanzia: Mtoto wa Mtoboasiri afariki dunia

Poleni sana na msiba. Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema
 
Poleni sana, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole familia ya marehemu,

Raha ya milele umpe eebwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani, amina.
 
R.I.P Mtoto mzuri Samson
Mkuu Mtoboasiri pole sana kwakuondokea na jembe letu Mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu
 
pole sana kaka, its very painful. Mwanga wa milele umuangazie, apumzike kwa amani. MY CONDOLENCES
 
Pole sana Mtoboasiri, kwa kweli ni huzuni sana kuondokewa na wapendwa wetu. Nakuombea Mwneyezi Mungu akutie nguvu na akupe wepesi katika kipindi hiki.
 
Last edited by a moderator:
Kuondokewa na mtoto ni jambo kubwa na gumu pole ndugu katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana kwa kufiwa, Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Kumbe Jiran yangu Huku wanakufaham kam MtoboaSiri...Pole san Mungu ni mwema na Alipumzishwa kwa Amani!
 
mungu akupe ujasiri kipindi hiki kigumu pole sana mtoboasiri
 
pole sana.....Mungu aifariji familia nzima......
 
Back
Top Bottom