Tanzia: Mtoto wa Mtoboasiri afariki dunia

Tanzia: Mtoto wa Mtoboasiri afariki dunia

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,010
Reaction score
60,483
Nasikitika kuwataarifu kwamba mwanajukwaa mwenzetu na baba kipenzi Mtoboasiri amefiwa na mwanae mpenzi Samson, aliyeitwa na Bwana Jumatano usiku akiwa Aga Khan hospital Nairobi. Maziko ni Jumamosi hii Njiro ila msiba upo AICC Kijenge jirani na Impala hotel.

Cc Kongosho Preta PakaJimmy Tized Katavi Blaki Womani Arushaone Mzee wa Rula sweetlady Filipo na wengine wote walioko pande za Arusha kama mnaweza unganeni na ndugu yetu Mtoboasiri mtuwakilishe na wengine tunaotamani kuhudhuria ila hatuwezi.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa, hatuna budi kumshukuru kwa kila jambo. Pole sana Mtoboasiri na familia yote kwa ujumla. Mungu awape nguvu muweze kupita kipindi hichi kigumu.

Stay strong.
 
Duh, Pole sana Mpwa wangu Mtoboasiri tumekosa Jembe hilo, MUNGU akusaidie katika kipindi hili kigumu ngoja nikutafutie ka-verse kokote nikuwekee hapa kakufariji
 
Last edited by a moderator:
Mtoboasiri M'Mungu akujalie ujasiri ktk kipindi hiki.Pamoja na familia yako!
 
Last edited by a moderator:
poleni sana wafiwa wote itoshe tu kusema kwamba
"Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe"
 
Pole mkuu Mtoboasiri...
Mungu akupe nguvu ya kukabiliana na hali hii
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mkuu Mtoboasiri, ni jambo gumu sana kumpoteza kijana, may he rest in peace
 
Last edited by a moderator:
"IF TOMORROW STARTS WITHOUT ME"
If Tomorrow Starts Without Me…Samson

If tomorrow starts without me, and I’m not here to see,
If the sun should rise you find your eyes all filled with tears for me;
I wish so much you wouldn’t cry the way you did today,
While thinking of the many things we didn’t get to say.

I know how much you love me, as much as I love you
And each time that you think of me, I know you’ll miss me too.
But when tomorrow starts without me please try to understand,
That an angel came and called my name and took me by the hand.
He said my place was ready, in heaven far above
And that I’d have to leave behind all those I dearly love.

But as I turned and walked away a tear fell from my eye.
For all my life I’d always thought, I didn’t want to die.
I had so much to live for, so much left yet to do.
It seemed almost impossible that I was leaving you.
I thought of all the yesterdays the good ones and the bad.


I thought of all the love we shared, and all the fun we had.
If I could relive yesterday, just even for a while,
I’d say goodbye and kiss you and maybe see you smile.
But then I fully realized that this could never be,
For emptiness and memories would take the place of me.
When I thought of worldly things I might miss come tomorrow
I thought of you and when I did my heart was filled with sorrow.

When I walked through heavens gates I felt so much at home.
God looked down and smiled at me from his great golden throne
He said, “This is eternity and all I’ve promised you”
Today your life on earth has passed but here life starts anew.
I promise no tomorrow, but today will always last
And since each day is the same there’s no longing for the past.
You have been so faithful so trusting and so true.


Though there were times you did some things you knew you shouldn’t do.
You have been forgiven and now at last you’re free.
So won’t you come and take my hand and share my life with me?
So when tomorrow starts with out me don’t think we’re far apart,
For every time you think of me, I’m right here in your heart.

Pumzika kwa AMANI Mtoto Samson Mtoboasiri Tunakupenda sana
 
Last edited by a moderator:
Ee mwenyezi Mungu mjalie ujasiri Mtoboa siri katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana mkuu Mtoboasiri, Mwenyezi Mungu ampunzishe mwanao mahali pema apumzike kwa amani
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mtoboasiri...Mungu akupe nguvu, wote njia yetu moja.
 
Last edited by a moderator:
Dah, pole sana mkuu..........Mungu akupe ujasiri katika jambo hili..........pamoja sana.......
 
Tuko pamoja mkuu Mtoboasiri katika kipindi hiki kigumu kwako.

Pole sana
 
Last edited by a moderator:
duuh nyie acheni katoto kalikua very bright. Rip sam kumbe ni mtoto wa mwanajukwaa mwenzetu loh!! Mungu wape nguvu wafiwa wote.
 
Mtoboasiri Mwenyezi Mungu awape faraja katika mapito haya magumu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom