Tanzia: Mtoto wa Mtoboasiri afariki dunia

Tanzia: Mtoto wa Mtoboasiri afariki dunia

Pole mtoboa siri, kwa kumpoteza mwanao mpendwa.Mungu akupe moyo mkuu kipindi hiki unachopitia.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mtoboasiri na wanafamilia wote; Rest in Peace Samson
 
Pole sana mkuu! Mtoboasiri May the almighty God rest him in peace!
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Lizzy kwa taarifa, Tunamuombea Mungu ampe nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu sana anachokipitia ndugu yetu Mtoboasiri pamoja na familia yake.

Tupo pamoja sana.

Nasikitika kuwataarifu kwamba mwanajukwaa mwenzetu na baba kipenzi Mtoboasiri amefiwa na mwanae mpenzi Samson, aliyeitwa na Bwana jumatano usiku akiwa Aga Khan hospital Nairobi. Maziko ni Jumamosi hii Njiro ila msiba upo AICC Kijenge jirani na Impala hotel.

Cc Kongosho Preta PakaJimmy Tized Katavi Blaki Womani Arushaone Mzee wa Rula sweetlady Filipo na wengine wote walioko pande za Arusha kama mnaweza unganeni na ndugu yetu Mtoboasiri mtuwakilishe na wengine tunaotamani kuhudhuria ila hatuwezi.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa, hatuna budi kumshukuru kwa kila jambo. Pole sana Mtoboasiri na familia yote kwa ujumla. Mungu awape nguvu muweze kupita kipindi hichi kigumu.

Stay strong.
 
Last edited by a moderator:
poleni sana wafiwa...Mungu ailaze roho yake mahali pema Mbinguni
 
Innalilahi wainailaihi rajiuna Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe ila nafsi itaonja umauti Pumzika kwa amani mtoto SAMSON.
 
Ama kweli kila nafsi itaonja mauti.......Mwenyenzi Mungu mwingi wa Rehema na ampe Mtoto wetu Samson apumzike kwa amani yake Bwana wetu shambani mwake Bwana wetu


Pole sana Mtoboasiri na Mungu pekee akutie nguvu katika hiki kipindi kigumu.......tutaangalia na muda na tutaungana wote hapo nyumbani kabla ya mazishi!!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mtoboa siri na familia. Mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu
 
Pole sana Mtoboasiri

Mungu akupe moyo wa subira katika kipindi kigumu kwako.

Ulimpenda sana mwanao, lakini Mungu alimpenda zaidi.

Yuko sehemu salama zaidi.

Apumzike kwa amani. Amen
 
Last edited by a moderator:
Mtoboasiri!!!!!! Pole sana mkuu. Mungu amlaze mwanao mahali pema peponi Amen.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom