MPARE KIBOGOYO
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 405
- 281
Hata Peter post ya Kukaribisha mwaka mpya alitubu pia aliowakosea wamsamehe.Alitubu mpk na kulichoma likadi nazan ameshasameewa
Hata Peter post ya Kukaribisha mwaka mpya alitubu pia aliowakosea wamsamehe.Alitubu mpk na kulichoma likadi nazan ameshasameewa
Wala haina shida,Kama watakavyofurahia ukifa.
Kwahiyo unataka kuniambia Lowassa anaumwa ukimwi au cancer and the like?Magonjwa mengine hayaponi kama ukimwi kisukari cancer n.k
Hata wewe utakufa
Ndio nani?Hata dikteta uchwara pia atakufa.
Usifikiri kila usichokiona ww kuwa hakipo. Wala sio kila kitu akili yako ya kawaida inapokataa kukifikiri ni kuwa hakipo. Kwa taarifa yako kuna muda binadamu anakua na akili isiyo ya kawaida hiyo unayosemelea na hufanya tukio lisilo la kawaida kama hiyo kujichomachoma visu. Matukio hayo yameshatokea mara nyingi tu. Wala Usifikiri kuna kujiua kurahisi ni akili isiyo ya kawaida. Kwa hiyo ww ukitumia akili ya kawaida utabisha tu.Wewe kwa akili yako ya kawaida unaona kuna uwezekano wa mtu kujiua kwa kujichoma choma na visu?
Yaani uchome mahali, uchomoe na uchome tena uchomoe na urudie tena hilo zoezi!
Just be reasonable mkuu.
Kuwa rafiki yako ndio ushahidi tosha kuwa hawezi kujiua.Kalihose alikuwa ni rafiki yangu sana, ninazielewa hustle zake, ila siyo kufikia kujiua tena kwa kujichoma choma visu.
Bado watatu , wawili visiwani , mmoja Tanganyika .
Ndio maana chadema haifanikiwi...ilimtusi sana lowassa halafu inajinafikishaCdm walizungumzia matendo yake lkn hawakugusa afya yake. Weka ushahidi hapa walipogusia afya ya Lowassa
Kuwa rafiki yako ndio ushahidi tosha kuwa hawezi kujiua.
Upumzike kwa amani.. Hongera wanasiasa wa upinzani kwa kuendelea kufanya siasa kwenye kifo cha mwenzetu, linapokuja swala la kifo siasa tuweke pembeni