TANZIA: Kada wa CCM Peter Kalihose afariki dunia

TANZIA: Kada wa CCM Peter Kalihose afariki dunia

Huu uzi na comments zake uwe funzo kwa wote. Watu wana hasira ya maisha vibaya mno! Afya ya umoja, upendo, udugu na mshikamano imepeperukia dirishani. Tujifunze kuishi kama tunaiona kesho yetu sote.
 
Kwa nini wanakufa wale tu waliomsema vibaya EL ila wanafahamika katika jamii yaani ni rahisi kutafutwa wakafikiwa.? Ni vyema watu watafakari kabla ya kujiingiza kwenye siasa za mihemko kichwa kichwa,,,,,, kuna mambo hayako yanatia shaka sio Mungu big no! Anyway Kalihose kawasalimie Mh Mtikila na Mh Filikunjombe na wengine wengi,,,,, tutakumiss sana,,,,, byeee...
Labda kawaroga maana kila wakifa wanashagila sana,jamaa wako vizuri aisee.
 
Upumzike kwa amani.. Hongera wanasiasa wa upinzani kwa kuendelea kufanya siasa kwenye kifo cha mwenzetu, linapokuja swala la kifo siasa tuweke pembeni
Mkuu wakati wanasiasa wa madarakani walipokuwa wanabeza afya ya Lowasa hukuwapa hongera zao
 
Uhai na afya ya mtu ni vitu viwili tofauti...hujawahi kuona wagonjwa wamelazwa hospitalini lakini wenye afya njema wanakufa kwa ajali n.k?
Kwani wagonjwa huwa hawaponi?
 
Kamwe Mungu hadhihakiwi huyo pia alisema lowasa atakufa.

Mungu amlaze mahala anapostahili kama ma ccm wengine
 
Lowassa bhana eti bado anakula upepo kwa mapenzi yake Muumba...OMUSHAIJA NAGUMA....aaah
 
Back
Top Bottom