Breki ya Kenge
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 706
- 983
Wadau leo tumeamka na habar ya huzuni ya kumpoteza mbunge wetu mchungaji wetu na mbambanaji mwenzetu
Lkn mpaka sasa hivi sijasikia ratiba kamili wapi tutaaga mwili na wapi tutampumzisha mwenye taarifa tujuzane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimekuelewa lkn ingependeza tukajua ili tufatilie japo ktk vyombo vya habariNa Coroma hii mikusanyiko hairuhusiwi, atazikwa kimya kimya tu
Ndio yeye huyoHuyu ndo Makonda alifurahia mtoto wake kupata Corona au ni Mbowe mwingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Atazikwa na watu wachache kimya kimya.Wadau leo tumeamka na habar ya huzuni ya kumpoteza mbunge wetu mchungaji wetu na mbambanaji mwenzetu
Lkn mpaka sasa hivi sijasikia ratiba kamili wapi tutaaga mwili na wapi tutampumzisha mwenye taarifa tujuzane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kweli Tundu Lisu alipigwa riasi bila mkulu kufahamu chochote?
Huyu ndo Makonda alifurahia mtoto wake kupata Corona au ni Mbowe mwingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ummy bado kauchuma!
Misukule haiwezi kuwa sawa na mtu anae wafuga
Usimfananishe raisi na DJ makengeza tafadhali
No no nooo big no ....Lakini kwa siasa zetu zilipofikia hatakiwi kuwa wa namna hii. Kama JPM alisema atakeyeenda kumsalimia Lema gerezani atashughulikiwa vilivyo yeye ni nani ajipendekeze?labda kwa mishe zake za biashara akuuaye kwa Upanga mmalize kwa upanga! Fullstop
No no nooo big no ....
usiwe mshari!!!bifu hazilipi...
Mbowe ni kielelezo cha siasa za upendo
ame-score credit nyingi sana hapa
Maisha ya binadamu ni mafupi sana why fighting!!!???