TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

Mipango ya Mungu si ya mwanadamu.. Atazikwa na watu wachache mno kutokana na hali halisi ya Corona... Imagine umati wote ule kanisani kwake lakini watakaohudhuria mazishi yake wanaweza wasizidi mia
Wadau leo tumeamka na habar ya huzuni ya kumpoteza mbunge wetu mchungaji wetu na mbambanaji mwenzetu

Lkn mpaka sasa hivi sijasikia ratiba kamili wapi tutaaga mwili na wapi tutampumzisha mwenye taarifa tujuzane.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Mtoto wake amesema kwa sasa bado wanasubiri kwanza wafanye VIPIMO ndio familia ikae na kuamua cha kufanya!

Kumbuka mama toka siku nyingi alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Presha&Moyo, na muda mfupi kabla ya kufariki kwake alikuwa akipumua vizuri kabla hali yake kubadilika.

SOURCE: Radio one stereo.
 
Amefariki kwa presha atazikwa na serikali ndugu watafatilia kwa terevision over!
Kipi zaidi unataka ujue
 
Lakini kwa siasa zetu zilipofikia hatakiwi kuwa wa namna hii. Kama JPM alisema atakeyeenda kumsalimia Lema gerezani atashughulikiwa vilivyo yeye ni nani ajipendekeze?labda kwa mishe zake za biashara akuuaye kwa Upanga mmalize kwa upanga! Fullstop
No no nooo big no ....
usiwe mshari!!!bifu hazilipi...
Mbowe ni kielelezo cha siasa za upendo
ame-score credit nyingi sana hapa
Maisha ya binadamu ni mafupi sana why fighting!!!???
 
Kwa binadamu yakikushinda usimeze pini, call a spade a spade. Hata Moi alipokufa Koigi Wamwere uzalendo ulimshinda akasema hawezi kamwe kumsamee Moi kwa unyama aliyomfanyia, akasema tutasameana huko mbinguni lkn sio hapa duniani.

Kuna watu wanawafanyia wenzao unyama mbaya sana wakifikiri wenyewe wana Death Proof lkn wapi.

Huyu mama majuzi tu alimuombea Zitto anyongwe kwa kuiomba WB wasiipe Tanzania mkopo wa elimu kufuatia sera mbovu ya Magufuli ya kupinga wanafunzi wajaa wazito kuendelea na masomo.

Mungu atajua wapi pa kumuweka kulingana na mapenzi yake. Amin.
 
58 Reactions
Reply
Back
Top Bottom