Mchungaji na Mbunge Getrude Rwakatare azikwa na Serikali kanisani kwake (Mlima wa Moto) na watu wasiozidi 10

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
671
1,000
Mazishi ya Askofu Getrude Rwakatare (Mama Rwakatare) yaliyofanyika leo katika eneo la Kanisa la Mlima wa Moto lililoko Mikocheni B, Jijini Dar Es Salaam.

Pia soma > TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

> Spika: Mazishi ya Mama Rwakatare yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, Serikali itasimamia

> Zitto: Kwanini Mama Rwakatare haagwi Bungeni kwa mujibu wa Kanuni za Bunge? Kwanini azikwe na Serikali kama hajafa kwa COVID19?

R2.jpg

R31.jpg
R41.jpg


 

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,571
2,000
PICHA: Leo Alhamisi April 23,2020 tayari mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum CCM na Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto Askofu Gertrude Rwakatare umepumzishwa kwenye eneo la kanisa la Mlima wa Moto huku mazishi yakihudhuriwa na Watu wachache kama taratibu za Kiserikali zilivyoshauri.
#RIPMamaYetu 🙏
FB_IMG_1587639775602.jpg
w
FB_IMG_1587639768974.jpg
FB_IMG_1587639761920.jpg
IMG-20200423-WA0013.jpg
 

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,373
2,000
Ila Corona ni kiboko.
Fikiria huu msiba wa mama corona isingekuwepo.
Watu wa maua wangeuza sana maua.
Watu wa chakula.
Watu wa magari na kampuni za mazishi.
Wauza nguo sare za kina mama.
Waandishi wa habari.
Watu wa kuplan mazishi.
Wote hao wamekosa hela.
Huu mji ungekuwa na heka.
Mikocheni B mtaa ungefungwa.
Naimani wasingesafirisha Bukoba lakini wadau kutoka pembe za dunia na wale wanaijeria ingekuwa hapatoshi.
Corona hii jamaniiiiiii
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom