TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

Mbowe Hekima zimemjaa sana pamoja na uhuni wote wa ccm ila uwa hatukani wala kukashifu watu

Lakini kwa siasa zetu zilipofikia hatakiwi kuwa wa namna hii. Kama JPM alisema atakeyeenda kumsalimia Lema gerezani atashughulikiwa vilivyo yeye ni nani ajipendekeze?labda kwa mishe zake za biashara akuuaye kwa Upanga mmalize kwa upanga! Fullstop
 
Wadau leo tumeamka na habar ya huzuni ya kumpoteza mbunge wetu mchungaji wetu na mbambanaji mwenzetu

Lkn mpaka sasa hivi sijasikia ratiba kamili wapi tutaaga mwili na wapi tutampumzisha mwenye taarifa tujuzane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kudhihaki msiba wewe kamanda wa ufipa

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu siyo kila uzi lazima uchangie,kuna uzi nyingine unatakiwa kuusoma kwa makini ili upate muda wa kujifunza na kuwaelewa zaidi wana JF.ndiyo maana wenziyo huwa tunamaliza hata wiki nzima bila kuchangia chochote ,ili upate muda wa kuisoma michango ya wenzio na kujifunza zaidi jinsi ya kuishi humu JF.
 
Back
Top Bottom