TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

Nini ambacho huelewi wewe? Wapi nimesema ALLAH ni Mungu wa huyo marehemu? ALLAH ni Mungu wangu mimi ndio maana namuomba ninayemuamini amfanyie wepesi huyo bibi
Ungelijua ukweli usingepoteza muda wako kuombea mwili uliorudi mavumbini, lakini pia unapaswa ujue kuwa Mungu wa bibi yetu hapatani na huyo Allah inalijua hilo?
 
Pole sana mkuu. Unapotosha watu, huyu mama alikuwa mchungaji wa Tanzania Assemblies of God kabla hajajiondoa na kuandika Mikocheni B Assemblies of God. Baada ya kuwa na kanisa kubwa na miradi ya kanisa, alijiondoa kwasababu kwa mujibu wa TAG unatakiwa kukabidhi hati ya ya jengo la kanisa pamoja na miradi makao makuu ili iwe mali ya TAG.
Duh, kanisa lilikua na miradi mingi eeh?
 
Ungelijua ukweli usingepoteza muda wako kuombea mwili uliorudi mavumbini, lakini pia unapaswa ujue kuwa Mungu wa bibi yetu hapatani na huyo Allah inalijua hilo?
Mbona unataka kupangiana maisha wewe? Fanya yako na niache nifanye yangu, nikimuombea wewe unapungukiwa nini?
 
Nat
Mbona unataka kupangiana maisha wewe? Fanya yako na niache nifanye yangu, nikimuombea wewe unapungukiwa nini?
[/QUOTE
Nataka uache uongo bhana, maana kwa Mungu wa mama Rwakatare baada ya kifo ni hukumu, hayo mambo ya kuombea waliokufa ni uongo mtupu.
 
Mwanadamu yeyeto ni maiti inayotembea wote ni wapangaji wapitaji hatuna haki ya kuumiza wengine
 
Back
Top Bottom