TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,392
2,000
Ila watanzania jamaniiiiiii
IMG-20200421-WA0012.jpeg
 

Aqua

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
1,632
2,000
Hivi kuna anayejua ratiba ya mazishi ya mama Rwakatare?
Mkuu zama zimebadilika ,under Corona issue stay at home ,social distancing. Kuna nchi kuna kiongoza mkubwa alifariki nadhani ni wa dini,watu wakakusanyika kibao,sasa serikali imeamua wanakijiji wote wawe locked down ili wapimwe door to door kujua kama hawajaambukizwa Corona.
 
  • Thanks
Reactions: amu

Vyamavingi

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,312
2,000
Pole sana mkuu. Unapotosha watu, huyu mama alikuwa mchungaji wa Tanzania Assemblies of God kabla hajajiondoa na kuandika Mikocheni B Assemblies of God. Baada ya kuwa na kanisa kubwa na miradi ya kanisa, alijiondoa kwasababu kwa mujibu wa TAG unatakiwa kukabidhi hati ya ya jengo la kanisa pamoja na miradi makao makuu ili iwe mali ya TAG.
Sasa nimekosea wapi kusema kuwa Mikocheni B Assemblies of God haiko chini ya TAG?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
12,237
2,000
Aqua,
Tofauti yetu ni ndogo sana "historia" kuweka sawa rekodi ni jambo muhimu sana.
Kwa sasa mlima wa moto hawapo TAG Kwasababu walijiondoa.

Na hivi karibu kama miaka kadhaa iliyopita baada ya kujiingiza kwenye siasa alitaka kulirudisha kanisa TAG..kwa askofu mtokambali, aliambiwa kuwa kanuni ni zilezile una surrender hati makao makuu..ilimshinda kufanya hivyo.

Mimi siongei uvumi bali naongea kitu nikijuacho. Hivyo awalo alikuwa Tanzania Assemblies of God lakini alipojiondoa akaondoa neno/jina Tanzania na kubaki na Assemblies of God.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom