Tanzania's Presidential Protection Unit (PPU)

...labda ndio 'USALAMA WA RAIA' :)

Mkuu upo? Hii thread mpaka leo nimeshindwa kuelewa dhumuni lake alafu hao PPU wanaowataja si ndio PSU?

Mlenge hao PGB(Uganda) si ndio wanadaiwa kutumika kama jeshi binafsi la Museveni na familia yake? Isitoshe ISO nao wanasemekana wanatumika kuibia nchi (angalia kipindi ambacho Jim Muhwezi alikuwa DG).
 
newmzalendo:
That's the sad part: why on earth do "Usalama wa Taifa" not see that EAC means the end of our dear country?

Sblandes:
How do we know they have duties beyond being one mammoth PPU? How was EAC nightmare was possible, if Tanzania had "Usalama wa Taifa" that had duties beyond PPU? We don't want to know how they work, but from the outcomes of what happens in our country, it is safe to assume that either "Usalama wa Taifa" are not tasked with, er., 'usalama wa taifa', other than 'usalama wa watawala'; or if they are indeed tasked with usalama wa taifa beyond usalama wa watawala then for some reasons they are not paying attention to the usalama wa taifa duties that do not involve PPU tasks. If this is the case, it could be because they cannot differentiate between watawala, chama, serikali, taifa; as they confuse watawala, chama and serikali as to be taifa.

I hope they wake up and do their duties to keep Tanzania out of EAC.

Mlenge
Mkuu salute. nadhani kuna loop hole. jukumu lao lingekuwa ni usalama wa raisi, wa taifa na ustawi wa taifa (watanzania).Check Goal ya wakenya "Prompt and quality national intelligence in the service of the people of Kenya. na mission yao ni "To safeguard the Repubic of Kenya
against any threats emenating from within and without'. kwa jinsi gani TISS yetu ina- serve maslahi ya watanzania
.
Huhitaji elimu kujua lakini mikatapa ya kilaghai, ufisadi, EAC common market,lessen za uwindaji, za umilikaji ardhi, soko huria nk zinahujumu ustawi wa watanzaania.threat wanayoongelea wakenya ni pamoja na economic threats na siyo kuhujumu madaraka ya raisi au mipaka ya nchi tu.huwezi kugeuza taifa kuwa soko la bidhaa na kuua viwanda vya ndani. Gharama za umeme na miundo mbinu ni kubwa viwanda vinashinwa kuzalisha kwa bei ya chini.Pili hata wananchi hawajaelemishwa kupenda vitu vya ndani ili kukuza uzalishaji na kulinda ajira, wao wanasema common market mara soko huria.Nina rafiki yangu mmoja tena ni PPU aliniambia maishani huwezi kuruka stages. Mtoto lazima aanze kutambaa ndiyo atembee. viongozi wetu wanaona sijui ni aibu au ulimbukeni kukiri hili kwamba watanzania na viwanda vyake bado vinatambaa.Kwa nini mchina hakufungua milango yake miaka hiyo ya sabini? hawakutaka wageuze wananchi waangalizi bali washiriki.Hata leo kupenya soko la mchina ni vigumu kwanza wanapenda vitu vya kwao kuliko kawaida. Sasa hivi kuna maenyesho ya kimataifa shanghai, pamoja na nchi karibia miambili lakini tv zao zinaongelea kwa zaidi jengo lao na hata wananchi wanajaa tu hapo.Ukiangalia na mambo ya mikataba, hii idara wasipo msimamia huyu rais wetu na kudhani usalama wa nchi ni CCM kuwa madarakani taifa ili lita-colapse. Kuna siku ng'ombe ataishiwa maziwa tu.
 
No comment! maana siku hizi kila asiye na kazi maalum ni afisa usalama wa Taifa hadi matapeli humo wamo !
 
sblandes,
That requires decisions to be made based on information, not whims of who is in power. It is doubtful whether 'usalama wa taifa' analyzes abstract threats that are (yet) to be transformed into physical ones.

Eqlypz,
Kwa hiyo unasema 'usalama wa taifa' TZ nayo ni jeshi binafsi la Rais, na kazi yao kubwa ni kuibia nchi?

Zhule
hapo ndipo matatizo yanapoanzia -- kwamba 'usalama wa taifa' una majukumu zaidi ya ulinzi wa watawala? Au usalama wa taifa ni ulinzi wa rais tu?

Kwa mfano, kwenye uchaguzi wa kitaifa: wizi wa kura unawahusu 'usalama wa taifa'? Je ni kazi yao kuhakikisha mtu haiingii madarakani kwa kupitia wizi wa kura? Au kazi yao ni kulinda kura za watawala walioko zisiibiwe? Pengine kazi yao pia 'kuiba' kura za 'wapinzani'? Au mambo ya uchaguzi hayawahusu? Huo ni mfano mdogo.

Mfano mkubwa: Jakaya Kikwete kasaini kwamba hataki kuona taifa la Tanzania linaendelea kuwepo, hivyo kulifuta kwa kupitia EAC. Je, 'Usalama wa Taifa' :
a. Wanaunga mkono, na wamepembua na kuona sawa?
b. Hawaungi mkono (sasa mtu mmoja rais kikwete anawezaje kuamua kufuta taifa la watu milioni arobaini?, lenye chombo chenye bajeti ya kulilinda taifa?)
c. Hawajui waunge mkono au la, kwa vile si kazi yao; kwao wao usalama wa taifa ni ulinzi wa rais. Mwisho wa reli.

Kwa mujibu wa maelezo yaliyochangiwa mpaka tunaenda mitamboni, 'usalama wa taifa' Tanzania hauna shughuli zaidi ya kuwa ni 'usalama wa rais na watawala wenziye', ndio sababu mikataba ya kulifuta taifa inafanyika (EAC) na hawaoni tatizo lolote.

Pana mtu hapa alisema 'usalama wa taifa' ni chombo cha ushauri tu kwa rais.
 
sblandes,

Eqlypz,
Kwa hiyo unasema 'usalama wa taifa' TZ nayo ni jeshi binafsi la Rais, na kazi yao kubwa ni kuibia nchi?

Pana mtu hapa alisema 'usalama wa taifa' ni chombo cha ushauri tu kwa rais.

Uwe unasoma kwanza sio unakurupuka tu kujibu ebo, nimesema ISO (Internal Security Organization-Uganda).

Hapo kwenye nyekundu nenda tena kasome Act ya TISS ya 1996 utaelewa wanafanya vipi kazi, mnaanzisha thread lakini ata research uchwara hamfanyi
 
It can be named usalama wa Taifa but with a lot of quotation mark, maan kila mtu anatafuta kula bwn, kwanini ma-analyser wasijitokeze kwenye hizi posts? au kwa sababu kupata sio rahisi kama wanavyotangaza kazi nyingine?
 
Pamoja na yoote jamani tunahitaji units lukiki za ulinzi in top of haya majeshi yetu namna hii? Huku sio kubebeshana mizigo ya gharama za uendeshaji kwa walalahoi?
 
Yes in Tanzania we do have the PPU. Majority ya Staff wa PPU are stationed at the Kijitonyama Residence. You will take note that these are not trained at Mbweni like the ussual TISS operatives but at the Special camp for commandos located in Zanzibar. I cant say more because of the requirements of the TISS Act.

You know nothing Devil Advocate. I suggest that you keep quite rather than giving wrong information, it seems to me that your one of those vijiweni boys who just sit at there porojo corners and form porojo. That is all i can tell you.
 
Do you mean that you did NOT understand my question?

Mimi naona hatuna rais, tuna rais jina, sasa inakuwa vigumu hata vitengo vingine vya rais kuwapo, maana rais mwenyewe kutwa kupunga madogoli na ngoma, misiba, kuzurura.Kuzurura kwenyewe not only hana data, anakosa hata common courtesy ya kujua kwamba kama mtu kapewa floor na moderator hutakiwi kumuingilia (angalia video ya Davos). Aibu tupu.

Hatuna rais.

Sasa usitegemee huyu non-president akaenda kuweka mikakati ya ulinzi and all that jazz.

Nchi iko kwenye autopilot hii, siku itakapokuja kuhitaji mtu wa kufanya manouvres za landing ndipo mtakapoona utupu wa Kikwete kwa undani.

And don't let nobody give you that "rais anafaa ila anaangushwa na watendaji wake" crap. It is so tired.

Sasa tumepata Rais
 
Sasa tumepata Rais
Kwa lipi??? Kama usalama wa taifa bado wapo ila mafisadi wa richmond hawajakamatwa

Wauza tembo hawajakamatwa

Waliosaliti nchi kwenye sekta ya madini hawajakamatwa

Majizi ya masandarusi ya pesa pale stanbic kwenye sakata la Escrow hawajakamatwa

Yaleyale tu we need a serious TISS ambayo itakuwa kwa interest za nchi sio Chama tawala
 
Do you mean that you did NOT understand my question?

Mimi naona hatuna rais, tuna rais jina, sasa inakuwa vigumu hata vitengo vingine vya rais kuwapo, maana rais mwenyewe kutwa kupunga madogoli na ngoma, misiba, kuzurura.Kuzurura kwenyewe not only hana data, anakosa hata common courtesy ya kujua kwamba kama mtu kapewa floor na moderator hutakiwi kumuingilia (angalia video ya Davos). Aibu tupu.

Hatuna rais.

Sasa usitegemee huyu non-president akaenda kuweka mikakati ya ulinzi and all that jazz.

Nchi iko kwenye autopilot hii, siku itakapokuja kuhitaji mtu wa kufanya manouvres za landing ndipo mtakapoona utupu wa Kikwete kwa undani.

And don't let nobody give you that "rais anafaa ila anaangushwa na watendaji wake" crap. It is so tired.
Mkuu kiranga vp JPM?
 
Mat.....ako y....ako,
 
Back
Top Bottom