Tanzania's Presidential Protection Unit (PPU)

...jukumu lako kama raia ulitakiwa kuripoti hilo haraka iwezekanavyo wahusika wachukuliwe hatua, informers pia wapo kwenye 'payroll'. :)

Kama Jerry Muro anavyo ripoti ripoti!! No thank you...unampata yule kijana aliyefichua goldenberg scandal kenya na yaliyo mkuta... Tanzania kama unataka kufichua fichua make sure unabillion kadhaa ka za mengi za kujibizana na serikali wengine bado tunazikusanya kwa sasa sadly!!
 
...Concerns noted.
Next time anika uozo huo na hao mafisadi hapa JF "Where We Dare to Talk Openly," hatokujua mtu. Watafuatiliwa. :)
 
I guess i dont know what to say here.. Is t haow to aplly Usalama wa Taifa au Bongo kuna PPU or Not???
 
...jukumu lako kama raia ulitakiwa kuripoti hilo haraka iwezekanavyo wahusika wachukuliwe hatua, informers pia wapo kwenye 'payroll'. :)
Heko Mosquito! Watu wanawalaumu UWT bila kuwapa msaada wa habari na kisa kuanza kulalama kwamba vitu havifanyiki. Pia si lazima unapotoa taarifa za kitu chochote ukatarajia kupata zawadi. Nguvu ya UWT yoyote duniani ni habari wala sio maguvu aidha na uwezo wa serikali iliyopo madarakani kutekeleza mapendekezo yao. Je kwetu haya yanafanyika? Wananchi wenye nchi yao wanawasaidia watu hawa kwa kuwapa habari? Serikali ya JK inawasikiliza? Je UWT wanawasomesha vijana wao elimu dunia (taaluma) ili ushauri wao uwe makini ktk fani husika na sio blabla? Tuendelee kuchangia
 
Tanzania's Presidential Protection Unit (PPU)?

Uganda wana PPU, wana ISO (Internal Security Organisation) ya usalama wa ndani na wana ESO (External Security Organisation) kazi zao ni ujasusi.

Kenya wana NSIS (National Security Intelligence Service) Hii ina idara kubwa mbili. Ya ndani na ya nje. Hawa wana paka tovuti:

http://www.nsis.go.ke/

TISS hawajafika hapa! Kazi kwa kupeana. Kuna kijana tulisoma naye. Kumaliza Form Four mwenzetu huyo kajiunga na TISS. Jamaa alikuwa wa wastani darasani.

Mwingine alimaliza Tambaza Form Four, ghafla akawa bodyguard wa Aboud Jumbe. Basi ndiyo hivyo.
 
Hivi wanaitwa PPU ama PSU? Alafu watu wameshawajadili hawa kwenye ile thread ya walinzi wa viongozi.
 
hii ndo naitaga mkorogo kwa kuchekesha. Unaanzisha kitu halafu kinaenda kushoto mbele nyuma katikati tundu.. ziba.. huna gundi huna saruji unabaki unahemea juu juu. nendeni jei kei tii
 
From the posts in this thread, the following conclusions could be drawn:

1. Tanzania 'usalama wa taifa' ni one huge "PPU".
2. Mambo kama vile mikataba, electronic communication, psychoanalysis, encryption, ujasusi, money laundering, and the like, siyo mandate yao; na ni kuwaonea tu kudhani kwamba hayo nayo ni sehemu ya majukumu yao.
3. Kipimo chao cha kazi ni usalama wa Rais -- maisha ya Rais, na mamlaka yake ya kisiasa.

Mlenge
 
hii inaweza kuwa na ukweli, unajua inashangaza kwa raisi wa nchi kutembea barabarani mpaka usiku na kufikia hatua ya kurushiwa mawe (Mbeye), sasa hayo yalikuwa ni mawe je kama wangekuwa na silaha za kijeshi?
raisi wa nchi anapelekwa kwenye deal za kijinga kabisa (zinduka-maralia), hivi hata usalama wa taifa wanashindwa kujua ni wapi pa kumpeleka Raisi, hivi kweli Tazara ni sehemu sahihi kabisa? inakuwaje sehemu ya kampeni watu watozwe pesa, ina maana hao watu wa usalama hawakuifatilia hiyo consert before kujua kama hiyo ni biashara na raisi hapaswi kwenda
Kuna upupu mwingi sana kwenye hii idara
Mimi nadhani badala ya kujadili kijinga ni vizuri ukasoma sheria ya kuanzishwa kwa idara hiyo inapatikana kwenye website ya bunge ufahamu kazi zao.Pia mjadala ungekuwa mzuri kama aafisa au mstaafu akaelezea shughuli za idara hiyo.Aidha suala la kupigwa mawe mbona Rais Bush alipigwa viatu Iraq na waziri mkuu wa Italy alipigwa ngumi.tatizo la JF siku hizi imwvamiwa na watu wa vijiweni wasio na uwezo wa kujenga hoja.inafana na kijiwe cha kahawa.wana JF turudishe heshima ya JF kama hapo awali.
 
From the posts in this thread, the following conclusions could be drawn:

1. Tanzania 'usalama wa taifa' ni one huge "PPU".
2. Mambo kama vile mikataba, electronic communication, psychoanalysis, encryption, ujasusi, money laundering, and the like, siyo mandate yao; na ni kuwaonea tu kudhani kwamba hayo nayo ni sehemu ya majukumu yao.
3. Kipimo chao cha kazi ni usalama wa Rais -- maisha ya Rais, na mamlaka yake ya kisiasa.

Mlenge

Mkurugenzi vipi? Mbona husikiki kabisa? Yaani vijana wamejiunga mwaka huu wana thread zaidi ya elfu wewe wa miaka karibu 5 una post mia tu. weka hata hizo za kwenye PhD angalau upande chati. Salamu sana mkurugenzi. I salute you.
 
Is't real that PPU's well qualified or is there politically,we Tanzanians,we have to be serious in security matters.
 
Is't real that PPU's well qualified or is there politically,we Tanzanians,we have to be serious in security matters.
Politically? hell no! let us be serious yes! nakumbuka usalama enzi za kambarage walikuwa moto wa kuotea mbali, vipanga wote wa ufisadi walichomeka m*** mahali pa usalama...ulikuw aukichukuliwa ukirudi jasho linakutoka na hutatataka tena .... maana yake nini nadhani yapo mambo mengi sana yanayohusu usalama wa taifa wanatakiwa kuwamo najua walinzi wa viongozi ni unit tu, lakini ile ni ofisi na ni idara kubwa inatakiwa kukidhi matakwa yawakamataji wahalifu wa kimataifa na wa kitaifa ambao wanachoropoka kirahisi Polisi.
 
Nchi iko kwenye autopilot hii, siku itakapokuja kuhitaji mtu wa kufanya manouvres za landing ndipo mtakapoona utupu wa Kikwete kwa undani.

And don't let nobody give you that "rais anafaa ila anaangushwa na watendaji wake" crap. It is so tired.
Nakubaliana na wewe kabisa nchi hii iko kwenye autopilot the so called president yuko bize sana na safari It seems anapenda sana kukaa nje ya nchi kwa nini tusimteue awe balozi wa maisha wa Amerika na Ulaya ?
 
Kwa hiyo Tanzania haina idara ya kufanya Ujasusi, kwa vile yote ni PPU?
 
Mimi nadhani badala ya kujadili kijinga ni vizuri ukasoma sheria ya kuanzishwa kwa idara hiyo inapatikana kwenye website ya bunge ufahamu kazi zao.Pia mjadala ungekuwa mzuri kama aafisa au mstaafu akaelezea shughuli za idara hiyo.Aidha suala la kupigwa mawe mbona Rais Bush alipigwa viatu Iraq na waziri mkuu wa Italy alipigwa ngumi.tatizo la JF siku hizi imwvamiwa na watu wa vijiweni wasio na uwezo wa kujenga hoja.inafana na kijiwe cha kahawa.wana JF turudishe heshima ya JF kama hapo awali.
Watu wanahasira na TISS kutakana na kutojulikana wanakazi ipi, wanafanyaje kazi, wako wapi (ndio sababu wanang'ang'ana na PSU kuliko TISS kwa ujumla wake), wanaajiri vipi. Lakini wahajui kuwa kazi (role) ya TISS kwa sekali ni ushauri tu. Ukiwa mshauri huwezi ku-implement unachofikiria kuwa ni muhimu. Aidha wanapoupuuzia ushauri kazi yako inakuwa ni namna ya kupunguza athaari ya kukataliwa kwa maamuzi yako. Plz someni sheria ya kuanzia TISS mtaona kazi yao
 
Back
Top Bottom